Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama wafanyavyo wabantu.Wameajiriwa na tajiri mmoja,sasa bosi wao akawaambia kuwa wajiandae kwa safari ya kenya...