Hivi ndivyo ilivyojiri kikaoni (bungeni) tarehe 31 Agosti 2021 (sio rasmi)
Mwenyekiti wa Kamati: (Baada ya kuwasilisha taarifa ya kamati) Mheshimiwa Spika, Natoa Hoja wabunge hao wasimamishwe kuhudhuria mikutano miwili ya bunge
Spika Ndugai: Hoja imepokelewa na kuungwa mkono.
Spika...
Mauti ni kifo na kifo ni kikomo cha kuwa(end of existence)! Mauti yapo ya aina nyingi lakini makubwa yapo ya aina mbili
. Mauti ya jumla(mauti ya moja kwa moja)
. Mauti nusu (mauti dhana)
Roho ni kitu kisichokufa bali roho ndani ya mwili ndio huleta uzima au kifo.. Roho ndani ya mwili ni uhai na...
Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada
Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa...
Kuandika Uzi wa mapenzi asubuhi subuhi haimaanishi kwamba hatujengi Taifa. LAA!
Muhali gani wapendwa? Nawaombea muwe na afya njema.
Ni swali fupi tu
JE NINI KINAFANYA MTU KUFUKUA MAKABURI (MAMBO MAOVU) YA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NYUMA?
Mpenzi wangu na mama mtoto wangu ambaye yuko mbali na mimi...
Habari za wakati huu!
Ninawaomba sana wanachama, wapenzi na washabiki wa Simba tuwe watulivu na makini kuelekea fainali ya FA CUP
Uongozi wa Simba upo makini na ulishatoa maelekezo ya kutatua mgogoro uliojitokeza. Simba ni timu inayojipambanua kuendeshwa kiweledi hivyo tusimame katika misingi...
John Wilbard, mkazi wa kijiji cha Chala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Amedeus Kavishe.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Wilbard anadaiwa kufanya mauaji hayo wakati wa ugomvi wa...
Wakuu
Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la P Square, yaani Peter na Paul.
Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? .. Japokuwa kwa sasa wote tu wanafanya vizuri lakini Rude boy (Paul) anaonekana kuwa mkimya na mtu wa kazi...
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!
Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati...
Wakati wa Utawala wa Magufuli ilikuwa ni kawaida kuyasikia TBC wakimtangaza Mtawala Muda wote Alipo na kutoisikia TBC ikitangaza habari na matukio ya vyama vya Upinzani Watanzania.
Hatukushangaa kwani amri ilikuwa ya Magufuli tu, leo tupo Awamu ya 6 bado TBC wanaendelea na Kutokutangaza Habari...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha askari polisi wa kitengo cha upelelezi Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, aliyetambulika kwa jina moja la Linus aliyefariki usiku wa kuamkia Mei 31, mwaka huu ikidaiwa alipigwa risasi shingoni na askari mwenzake.
Alipotafutwa na gazeti hili kuzungumzia suala...
Utangulizi:
Huyu dada ni mke wa mtu na ni jirani yangu pale nyumbani ninapoishi. Ni zaidi ya miezi 9 sasa toka nimehamia mtaa ule, ila kwa kipindi chote hiki sijawahi kuwa na mazoea na huyu mwanamke. Huwa ni mwendo wa salamu tu halafu kila mtu anachukua 50 zake. Sina uhakika kama ananijua jina...
Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa.
Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea kutokuelewana yeye na ndugu zake hali inayomfanya asiishi kwa amani.
Binafsi sitaki kuingilia ugomvi wao...
Habari.
Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).
Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano...
Tangu Disemba 27 hadi 18 Januari 2009 vyombo vya habari duniani vilitawaliwa na taarifa za mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas la Palestina. Katika vita hiyo takriban wapalestina 1300 na Waisraeli 13 walipoteza maisha.
Dunia imegawanyika huku upande mmoja ukiunga mkono kundi la Hamas na...
Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda.
Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto...
Hawa ndugu zangu wameanza kuja kwa kasi sana kum - support Diamond Platnumz haswaaa. Deal aliyoi-sign na Warner inazidi kuwafumbua watu.
Swali ni: Je, kuna nini kinaendelea au ndo mabifu yamesha sitishwa?
Naomba mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe.
Naombeni mipango mikakati ya kuendelea kula tunda kwa X girlfriend, mkiwa mmeachana kwenye ugomvi mkubwa (assume yeye ndio alio-kuacha)... na hamuwasilini ila umemiss kumla mzigo
Kutokana na hali Ngumu ya maisha na tatizo la ajira vijana wengi tumeamua kurudisha mpira kwa kipa huku tukisubilia mambo yakae sawa tujipange upya na sis tufanye maisha yetu kama awali.. Wengine wamerudisha mpira kwa wazazi wao, wengine wamerudisha mpira kwa Ndugu, ila sisi Ma Pro na Ma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.