Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.
Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅.
Mungu fundi nyie!
Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti
Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie.
Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati...
Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu.
Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana kuweza kumuonea Faisal Salum. Yanga haitapendi kuua kipaji Cha mtoto Fei, LAKINi Yanga inafahamu...
Kenya. Jumatatu ya Machi 13, majira ya jioni ni siku ambayo Dan Ouma aliaga dunia baada ya kuamua kuingilia ugomvi kwa kusudi la kuwatenganisha wa wanandoa ambao mume alikuwa akipigwa na mke wake, tovuti ya Tuko imeripoti tukio hilo.
Matokeo yake Ouma mwenye umri wa miaka 24, alipigwa na kitu...
Siku moja kuna jamaa, si rafiki yangu lakini tulikuwa tu afahamiana nae, amekuja na story kuwa alikuwa amevutiwa na msichana niliyekuwa natoka nae. Sikufahamu dhamira yake ila nilimjibu tu, "ongeza jitihada, unaweza kumpata"! Upande mmoja nawaza labda nilikosea, ningemwambia aache fikra zake kwa...
Habar wana JF,
Nashukuru mungu wote ni wazima
Mtanisamehe mimi sio muandishi mzuri sana wakuu.
Nimetoka kugombana na wife mpaka nimebaki nashangaa na kuwaza kwa maneno alioyasema wife, nikwamba wife ni mjamzito wa miezi 4 sasa anatimiza ikifika tarehe 13 sasa leo nimetoka kazini nikawa nimekaa...
Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi (ninaowajua) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.
Sijui kwanini Wema...
Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia.
Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
Licha ya kipimo cha vinasaba kuwa uthibitisho wa mwisho kwa wazazi wanaotaka kuthibitisha uhalali kwa watoto, mara kadhaa maofisa ustawi wa jamii huingia kwenye lawama majibu yanapotoka.
Hayo yameelezwa na Ofisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Dar es Salaam, Namara Elisha wakati wa mafunzo ya...
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.
Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya...
Ila Mbowe amepitia mengi sana!
Jioni moja pale Bungeni kwenye Ukumbi almaarufu sasa wa Msekwa uliibuka ugomvi wa maneno ya kejeli baina ya Waziri wa Elimu na Utamaduni kipindi hicho bwana Kapuya na bwana Mbowe uliopelekea wakubwa wale nusra wazichape.
Kisanga kilianza pale Mbowe mchango wake...
Hii nayo mlaumu Marekani.
Uchina apeleka kibabe babe meli yake Sri-Lanka yenye uwezo wa shughuli za kijasusi, India yalalamika kwamba huu ni uchokozi wa hali ya juu.
=========
A Chinese research ship has docked in Sri Lanka's Hambantota port despite Indian concerns.
The Yuan Wang 5 was given...
Habari ya siku nyingi ndugu zangu, ngoja niende kwenye hoja moja kwa moja
Masuala ya ugomvi na migogoro ya ndoa kwa wazazi wetu ni mambo ambayo huwa tunakumbana nayo mara kwa mara na kwa asilimia kubwa sana japo sio kila familia au kila mtoto huweza kuyapitia haya mambo.
Ila niwape angalizo...
Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana...
The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours.
US...
Mtu mmoja alieyefahamika kwa jina la Mwidini SaidI (30) Mkazi wa Kitongoji cha Kitumbini, Kata ya Kivinje Wilayani Kilwa Mkoani Lindi amefariki mara baada ya kupigwa na kitu kizito Kichwani walipokuwa wanagombea simu ya marehemu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Mtatiro Kitinkwi amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.