Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
Asilimia kubwa sana ya Watu wana MAISHA MAGUMU
Asilimia kubwa ya vijana hawana AJIRA
Lazima CCM watashindwa au kuwa wa mwisho au kushika Mkia
Je, CCM watapata kura wapi wakati asilimia kubwa ya watu wana hali ngumu?
Kum 28:12: Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke
Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi...
Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu.
👇🏾
Atheists
God non believers
And religionist.
Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo zilikaa na kukunenea laana katika MAISHA yako.
Madhabau zote za kichawi ili zikupate huwa wanacheza...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa wito kwa Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kuzingatia suala la kupanda kwa gharama za maisha. Mnyika amesema hali hiyo ni sehemu ya athari mbaya za kiuchumi...
Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA!
Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha!
Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira ayatawale! Sasa unaposema MAISHA Ni MAGUMU mimi huwa simuelewi Magumu kwa kuyalinganisha na yepi?
Binadamu...
Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much.
Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
Huku mtaani si ajabu ukakuta mtu anafurahia kabisa mwenzake kukosa dili fulani, au kufukuzwa kazi maarufu kama kutumbuliwa. Utasikia ooh bora tulingane, na hii imepelekea hata hii inayoitwa "mob justice".
Mob justice haiishii tu kwenye kupiga mtu kisa kaitiwa mwizii, inaenda mbali sana hadi...
Ubaya Ubwela & Nyie Hamuogopi vimepita,tujikite kwenye mada kuntu!
Kuna mshikaji wangu mmoja tulimaliza wote Sekondari na bahati nzuri hata chuo tukasoma wote,Mimi na yeye tulitokea Kuwa marafiki sana na hata hapo nyuma Kuna Uzi niliuweka hapa unaohusu maisha ya Ughaibuni nilimzungumzia!
Baada...
Chama cha ACT Wazalendo kimechukizwa na ugumu wa maisha unaowakabili wananchi kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa, utitiri wa kodi, tozo, ushuru na mazingira magumu ya kujipatia kipato.
Wakakizungumza kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wanakoendelea na ziara ya Chama viongozi wameeleza...
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa...
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama hali hii ikiendelea hivi CCM jiandaeni kukabidhi kijiti.
kuna clip inaonyesha mr nice akiapishwa freemasonry na mwenzake alafu cha kushangaza soski za mikono wamepeana mmoja kabaki na kulia mwengine kabaki na ya kushoto.
Mfuko wa wastaafu uboreshwe kusaidia huyu mwenye nyimbo za zamani kuku kapanda baiskeli.
Wasalamu wakuu!
Niwape hongera na pole kwa hustling za kila siku za kuhakikisha wewe binafsi na watu wako wa karibu wanafurahia juhudi zako.
Nimeleta andiko hili najua si mara ya kwanza yaweza kuwa lilishaandikwa kwa namna nyingi na wadau humu jukwani.
Hali ya kimaisha inazidi kuwa ngumu siku...
UTANGULIZI
Kwa miaka mingi toka nchi ipate uhuru walimu wamekua ndio kiwanda cha kuzalisha maarifa kwa ajili ya uendeshaji wa nchi kwa kuwatoa watu ujinga na kuzalisha Wataalamu ila maslahi yao yameachwa nyuma, hawana motisha. Mfumuko wa bei kwa miaka mingi umeendelea kuwa sio rafiki...
Ni siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake wanadhalilika sana wengine kwa kupenda wengine kwa kutokupenda. Wanawake ndio kioo cha maadili, hali ya...
Ukosefu wa uwazi, ugumu wa kupata taarifa sahihi kuhusu malipo, imekuwa changamoto kubwa kwa wanufaika wa TASAF.
Miradi ya TASAF kila sehemu inapaswa kuwafikia walengwa ambao ni Wazee na Wanawake wa Kaya masikini. Hali ni tofauti mkoani Kilimanjaro, katika Kata za Mnadani, Machame Narumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.