ugumu wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  2. Erythrocyte

    Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika. Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
  3. Ofisho mlinzi

    Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  4. K

    Ugumu wa maisha ndiyo utakuja kuiangusha CCM

    Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo. Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni...
  5. proton pump

    Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  6. comte

    Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

    Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro...
  7. Erythrocyte

    Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

    Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
  8. B

    Bora Fisadi Aliyeleta Unafuu wa Maisha kwa Watu Kuliko Mwadilifu Ambaye Kila Siku Watu Wanalia Ugumu wa Maisha.

    Enzi hizo zinazodaiwa za ufisadi: -maisha yalikuwa rahisi -hakukuwa na mfumko wa bei -dola zilikuwepo za kutosha tena kwa bei inayojulikana -watu wengi walijenga -ajira zilikuwepo za kutosha -miundombinu mingi ilijengwa zikiwemo barabara tena kwa kiwango cha lami -shule nyingi za kata zilijengwa...
  9. B

    Haioneshi picha nzuri kwa viongozi kunawiri/kunenepeana ilhali raia wakikondeana kwa sababu ya ugumu wa maisha

    Leo wakati namsikiliza Mh. Aikael Freeman Mbowe, amegusia jambo ambalo kwa kweli kwa maoni yangu naona yuko sahihi kwa 100%. Hii Serikali ukiangalia maisha wanayoishi Viongozi na Raia, utafikiri wanaishi katika nchi 2 tofauti! Viongozi wengi wa sasa wanazidi kunenepeana huku raia walio wengi...
  10. DR HAYA LAND

    Japo Maisha ni magumu ila unaweza kujifunza mbinu mbalimbali Kama kijana ili kupunguza ugumu wa Maisha.

    Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako. Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu. Usikubali mtu afahamu...
  11. comte

    Ugumu wa maisha unawafanya wa Marekani wasimuelewe Biden na Bidenomics yake

    Sembe imepanda bei Mafuta yamepanda bei Bei ya pango iko juu ---- WASHINGTON − Linda Muñoz is scared about the economy. She dipped into her emergency savings this year. And she doesn't believe President Joe Biden feels her pain. The retired teacher from Channelview, Texas, worries about paying...
  12. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    Mawazo juu ya namna ambavyo tunaweza kukabiliana na ugumu wa maisha na kujipa uhuweni

    Kumbuka, hakuna suluhisho la haraka au rahisi la kutatua matatizo yote ya maisha, lakini kutumia mbinu hizi na kufanya jitihada zako binafsi kunaweza kuboresha hali yako na kukuwezesha kuhimili ugumu wa maisha kwa ufanisi zaidi. Kuelewa jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha ni muhimu sana kwa...
  13. peno hasegawa

    Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

    Ugumu wa maisha Kenya, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
  14. M

    Wenzetu Kenya wanaandamana kupinga ufisadi na ugumu wa Maisha. Sisi bandari zinauzwa na huku tunakosa hata chakula

  15. Chizi Maarifa

    Wakati Mbowe anazunguka kusifia alivyolainishiwa maisha, Lissu anaongelea ugumu wa Maisha wa Masikini

    Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia. Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea...
  16. DR HAYA LAND

    Mwaka 2025 itabidi wanasiasa wajieleze Sana, vijana kila siku wanajinyonga kwa ugumu wa Maisha

    Wamesoma lakini it is about 10 -5 years no Employment then nyie politicians manawakejeri kwa kuwaambia wanabidi watengeneze ajira hivi Mtu anajiajili vipi bila mtaji Wala Mazingira mazuri ya uwezeshwaji. Sijui hiyo 2025 mtakuja na nyimbo gani ili tupate kuwaelewa. Elimu yenu mnayotoa katika...
  17. comte

    Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  18. M

    Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  19. Erythrocyte

    Serikali isipuuze malalamiko ya Ugumu wa Maisha

    Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa. Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru wananchi wake, huo ndio uwajibikaji, haiwezekani Wapagani nao Wafunge Ramadhan au Kwaresma halafu...
  20. Lycaon pictus

    Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

    Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani. 1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
Back
Top Bottom