Wakazi na mashabiki mbalimbali wamekuwa wakilalamikia hali ya huduma katika Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Tanzania wakisema kuwa ukosefu wa vyoo vya kutosha ndani ya uwanja huo umekuwa changamoto kubwa.
Hali hiyo imewafanya baadhi ya watu kutumia maeneo ya pembeni ya uwanja huo...