Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa .
Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
Habari za Asubuhi waungwana,
Kama kichwa cha habari kisemavyo.
Serikali imekuwa ikijipambanua kuongeza kasi ya upatikaji wa maji kwa wananchi wake.
Lakini mpaka leo kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo katika maeneo kadhaa ya mjin kwa kisingizio cha uhaba wa vifaa vya...
Bomba kubwa la mafuta nchini Marekani limeripotiwa kuwalipa wahalifu wa mtandaoni wanaofahamika kama DarkSide kiasi cha dola milioni tano $5m (£3.6m) kama kikombozi ,baada ya bomba hilo kuvamiwa mtandaoni.
Bomba la Colonial lilikuwa linapata wakati mgumu kufanya shughuli zake baada ya kudukuliwa...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga hasa wenye ulemavu wapo hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kipindupindu kutokana na ukumbi wanao utumia kwa ajili ya mikutano kuwa na uhaba wa matundu ya vyoo hali inayopelekea kujisaidia kwenye vichaka vilivyopo karibu na...
Amani iwe nanyi wakuu!
Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID.
Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
Ramadhan kareem kwa ndugu zangu waislamu,
Wakuu kuna hiki kitu nimekutana nacho huenda ni kawaida ila kwa miongo zaidi ya mitatu niliyopo hapa duniani ndio naona kwa mara ya kwanza.
Ni hivi, mke wangu kajifungua na ninavyojua (huenda nikawa sipo sahihi) kuna ile chanjo ya begani hua hua mtoto...
Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira
Amesema, "Mimi nafikiri Mtaala wa Ualimu ufutwe katika Vyuo Vikuu kwasababu watu wanapelekwa kusomea Ualimu lakini wanaendelea...
Jumuia ya akina mama wafanyakazi wenye watoto wachanga huwanywesha watoto maziwa f1 na kuwanyonyesha wanapotoka kazini.
Moja ya f1 iliyozoeleka ni lactogen toka Kenya au France. Ni wiki ya 2 sasa nimeshindwa kupata maziwa hayo madukani kwa mtoto wa ndugu yangu Dar.
Amejaribu agiza mikoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.