uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Mna uhakika Wameoga, Wamepiga Miswaki na hata Kuchamba vyema ili Wafaulu vyema kwa huu Mgawo wenu wa ovyo wa Maji?

    Tunawatakia Kila la Kheri Kidato cha Nne kwenye Mtihani wa Taifa 🙏 Chanzo: dawasatz Halafu bado tu CEO Wao ( Wenu ) Tumbo Tumbo SIMTANK anapata hadi Nguvu za kwenda Kumtembelea Naibu Spika wa Bunge Zungu Ofisi za Bunge Dar es Salaam na mpaka kupiga na Nne kabisa. Kwa Hasira nyingi nilizonazo...
  2. GENTAMYCINE

    Je, tuna uhakika Mahafali mbalimbali ya Vyuo Vikuu Miezi hii Novemba na Disemba yanatoa Thinkers na Intellectuals hasa?

    Katika hili nina uhakika na Chuo Kikuu Kimoja tu changu cha SAUT Mwanza kuwa ndiyo kimetoa, kinatoa na kitaendelea kutoa Thinkers na Intellectuals hasa nchini Tanzania na vingine vinajaribu na Kubahatisha tu. Hongereni mno na sana Wazazi na Walezi wote mliopeleka Watoto zenu ( wenu ) Kusoma...
  3. L

    Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu

    Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu Tuonyeshe love,kwa rafiki zetu wanaotupenda na kutupigania!
  4. Nobunaga

    Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea: "Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo...
  5. GENTAMYCINE

    Mna uhakika Hela mliyompa 'Mtu' wenu aifikishe kwa 'Refa' wa Leo ili mshinde 'nyingi' ameifikisha kweli?

    Kilichonifanya GENTAMYCINE niulize hili ni kwamba Gari yake ina miezi Mitatu sasa ni Mbovu ila leo iko Mtaani anapiga nayo Misele na Rangi kaibadilisha pia. Pia kuna Viwanja Vinauzwa huko Chanika cha Kushangaza kanipigia anasema Kesho Alhamisi nimsindikize akanunue Vitatu. Na sijui ni kwanini...
  6. mirindimo

    Tuna uhakika ni kampuni ya UAE kweli?

    Hii nchi tumepigwa sana unaweza kuta kuna dalali hapa kati kapiga mchongo kachukua tenda na hakuna kitu kama UAE hii nchi tumepigwa left right and center
  7. T

    Miaka 60+ ya CCM, hakuna uhakika wa kula, Maji wala umeme

    Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme. Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...
  8. Mr Pixel3a

    Naomba mwongozo wa ununuaji wa hisa na makampuni ya uhakika

    Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida? Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya ya akili
  9. BARD AI

    Leo ni Siku ya Chakula Duniani, uhakika wa chakula bora upoje kwako? 'Leave NO ONE behind'

    October 16 ya kila mwaka ni Siku ya Chakula Duniani. Siku hii inaadhimishwa ikiwa ni kuikumbusha jamii ya kimataifa kuwa, baa la njaa linaathiri kila mmoja wetu, awe tajiri ama masikini, katika nchi kubwa kiuchumi au nchi iliyo nyuma kiuchumi. Siku hii ni ilianzishwa na Shirika la Chakula na...
  10. Kibenje KK

    Kuna uwekezaji wa faida na uhakika Tanzania kama Kwenye Ardhi?

    Ni swali hili. Niko kwenye Biashara hii muda wa miaka miwili sasa, kiwanja unaweza kununua asubuhi 4M. Jioni akaja mtu anataka umuuzie kwa 5M. Ardhi haishuki thamani. .... Kuna hivi nauza✍️ Unatafuta kiwanja sehemu nzuri iliyojengeka, karibu, Usafiri usiosumbua na mahali palipo na huduma zote...
  11. GENTAMYCINE

    Kama hujawahi Kushuhudia Paka na Paka 'Wakinyanduana' unakosa Uhondo wa Uhakika

    Halafu mnaosema kuwa sijui ukiona Paka na Paka 'Wananyanduana" utakufa au utapatwa na Misiba Mimi mbona nina bahati ya Kushuhudia huo 'Unyanduano' Wao ila sijafa na wala sijapokea Taarifa yoyote ile ya Msiba? Na ninachokipenda hasa ( zaidi ) katika "Mnyanduano' wa Paka na Paka ni pale Paka Jike...
  12. N

    Hapa Simba Queens mmepata dribbler wa uhakika na mfungaji

    Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama uliwahi kushuhudia uchezaji wa Edibily Lunyamila au Dua Said basi ndiye huyu binti. Hata Harambee...
  13. Suzy Elias

    Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  14. NetMaster

    Nimeshuhudia baadhi ya wachaga na wakinga wanaacha ajira nzuri wanaingia mazima biashara ambazo zina hatari ya hasara, huu ujasiri wanautoa wapi?

    Ni baadhi yao,,, sio wote Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki. Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
  15. GENTAMYCINE

    Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

    "Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu" "Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado...
  16. Mganguzi

    Umesema Hauna kampuni hata ya bajaji una uhakika? Vikimwagwa vielelezo usianze kulialia...

    Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo...
  17. The Sheriff

    Watanzania hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na Tozo

    Imeelezwa kuwa Wananchi wengi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo kwani 42% wanasema kuwa hawajui yanatumikaje ikilinganishwa na 38% ya wanaosema wanajua namna mapato hayo yanavyotumika. Hii ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA ambalo...
  18. sky soldier

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
  19. kunonu

    INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

    Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
  20. Rosh Hashannah

    Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea

    Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea. Kounate ni box to box midfielder, kucheza kama Defensive Midfielder ni kumforce sana. Pia kama ataendelea kucheza DM apunguze foul za ovyo. Mkude haeleweki kama no. 6 au 8 yaani... Striker wapambane wamchukue Manzoki, hawa...
Back
Top Bottom