Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme.
Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...