uhalifu arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

    Mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Latifa, anayefanya biashara ya ngono, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukutwa ndani ya chumba namba nne katika Lodge ya Dolphin, eneo la Kaloleni jijini Arusha, usiku wa kuamkia Oktoba 18, 2026. Kwa mujibu wa mashuhuda, Latifa...
Back
Top Bottom