Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa kauli kadhaa kuhusu matukio ya uhalifu kama yalivyoripotiwa na Wananchi mbalimbali kupitia JamiiForums.com akisema kuwa “Mzee wa Show Show nipo hapa, nimelichukua na kila Mtu alinde Mwanaye ambaye ni Kibaka, asije kulaumu kuanzia sasa”...
Samia wewe ni Rais lakini pia ni mama huku Makurunge kata ya kiluvya madukani katika wilaya ya kisarawe mkoa wa Pwani wanawake na mabinti wanapitia madhila ya kuvamiwa katika nyumba zao na vijana [majambazi] walio na silaha za jadi na kuwalazimisha watoe pesa na vitu vyenye thamani na kutishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.