Mimi ni muajiriwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI.
Kwa miaka takribani mitatu nimefuatilia uhamisho wa mke wangu bila mafanikio, ukiingia kwenye mfumo kuomba uhamisho mfumo...
Anonymous
Thread
afya ya akili
hospitali ya mirembe
uhamishoutumishiwaumma