A
Anonymous
Guest
Mimi ni muajiriwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI.
Kwa miaka takribani mitatu nimefuatilia uhamisho wa mke wangu bila mafanikio, ukiingia kwenye mfumo kuomba uhamisho mfumo unaleta meseji ya "VACANCY NOT BUDGETED".
Mwaka huu 2026, mke akapata changamoto ya Afya ya Akili na anahudhuria Kliniki ya changamoto yake Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Nikarudi Ofisi ya Wizara ya TAMISEMI - Dodoma kuomba msaada ili aweze kuwa karibu na eneo lake la matibabu na awe karibu na familia yake lakini nikaambiwa nikajaze kwenye mfumo ambao kwa miaka 3 mfululizo unasema VACANCY NOT BUDGETED, nikaambiwa hawana namna ya kunisaidia kwa lolote bali niendelee kukomaa na mfumo.
Nashindwa kuelewa kuwa ni kweli Serikali haioni umuhimu wa kumpatia uhamisho au baadhi ya watendaji wake ndiyo hawataki kunisaidia katika hili jambo la matibabu ya mke wangu?