Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games.
Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye...
Je, mwenye nyumba amshtaki mpangaji kwa kumharibia nyumba yake?
Au
Mpangaji amshtaki mwenye nyumba kwa kujenga ukuta wa mchongo na kusababisha Tv yake kuvunjika?
Toa maoni yako kitaalam zaidi.
Uharibifu Wa Taifa Huanzia Nyumbani Kwa Watu Wake
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua jinsi msemo wa wahenga “uharibifu wa taifa huanzia nyumbani kwa watu wake” unavyoakisi hali ya sasa ya nchi yetu? Msemo huu ni usemi wenye kufupisha ujumbe au hekima fulani. Ina maana kwamba matatizo ya...
Mamba anajulikana kwa kuwa na machozi ya kinafiki sana, unaweza muona analia machozi yanatoka kumbe ana zuga.
Sasa na sisi kwenye Kupambana na uharibifu wa Mazingira ni bora tukaacha unafiki kama wa Mamba.
Mabadiliko ya Tabia nchi ni kweli yapo na yanaendelea kutuletea matatizo makunwa sana na...
Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara.
Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza.
Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
Wanajukwaa wote nakuja kwenu kwa ushauri nichukue hatua gani.
Niliomba fundi kufanya decoder installation mwezi wa tano kutoka kitengo cha huduma kwa wateja. Nikaletewa fundi, wakaja wawili bwana.
Wakafunga decoder, wakati wa kufunga miguu ya tv, tv ikavunjika.
Wakiwa pale mafundi wakaniambia...
Ni kama Mamlaka zinazohusika na utunzaji wa mazingira katika Wilaya ya Bariadi, zimeruhusu uharibifu huu wa mazingira unaofanya kwenye vyanzo vya maji. "Uchimbaji wa mchanga katikati ya mito".
Uharibifu huu umeanza muda mrefu lakini hakua hatua zinazochukuliwa, wachimbaji wa mchanga wenyewe...
Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo
RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo
Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo...
Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi.
Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo.
Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati...
Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake.
Mfano:
Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
Saalamu,
Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa.
Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
..Tari ni taasisi ya utafiti mbegu hapa Tanzania.
..shamba lao wanalofanyia utafiti wa mbegu limevamiwa na mifugo na kuharibiwa.
..watumishi wa Tari walipojaribu kuwadhibiti wafugaji na mifugo yao, waliishia kushambuliwa, na wafugaji wakatoroka na baadhi ya mifugo hiyo.
..serikali ni kama...
Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi.
Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
Bado tupo kwenye kitabu Cha MWANZO...Bado tupo na ukoo wa Yuda....Bado tupo na mjane Tamari.
Ni kitabu Cha MWANZO 38:11-26
Baada ya mzaliwa wa pili wa Yuda kufa(Onan) ...Yuda akamwambia Tamari mkwewe,ukae mjane nyumbani mwa baba Yako hata shela Mwanangu(mzaliwa wa tatu wa Yuda) atakapokuwa mtu...
Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao.
Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea...
Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu iliyopita.
Meanwhile, Volodymyr Zelensky, Ukraine's president, has proposed a formal deal with the...
Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili.
Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.