Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40.
Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...