uhujumu uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KITAULO

    Rugemalila atoa notisi kwa taasisi 6 akiomba aondolewe kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi

    Mfanyabiashara James Rugemalila, ametoa notisi kwa taasisi tisa, ikiwemo Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Gavana wa Benki Kuu, DCI, TRA, Wakili Mkuu wa Serikali, Kamishna wa Magereza pamoja na kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini akiomba amtoe kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili. Rugemalila...
  2. Miss Zomboko

    Bunge lajadili mabadiliko ya sheria kujusu dhamana ya kesi za uhujumu uchumi

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema kwa kuwa kesi za uhujumu uchumi hazina dhamana ipo haja sasa kwa wabunge na Bunge kutunga sheria ya marekebisho na kubadilisha pale ambapo itaona panafaa. Hayo ameyabainisha leo Januari 30, 2020, Jijini Dodoma, kwenye...
  3. figganigga

    Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi

    MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha. Rugemalira aliyaeleza hayo...
  4. K

    Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

    Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto ==== Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa...
  5. Erythrocyte

    Hatimaye Diwani wa Chadema Tunduma, Ayubu Sikagonamo aachiwa kwa dhamana. Amesoteshwa rumande kwa kusingiziwa uhujumu uchumi kwa miezi mingi sana

    Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu. Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh...
  6. Mackanackyyy

    Ilianza Kama mzaha kwa Vikaratasi vya Bashite, hatimaye ni Kawaida sasa kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi, kupewa kesi za Uhujumu Uchumi

    Ilianza Kama mzaha na vikaratasi vya Daudi Albert Bashite, the Prince...kuchafua watu kiujumla jumla kuwa wanauza madawa ya kulevya... Tukajua Mzaha, Sasa ni Kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi ama kukatwa mapanga mchana kweupe, kunyongwa shambani huko Kisarawe ama Rufiji...ama...
  7. Erythrocyte

    Daktari anayetuhumiwa kwa utoaji mimba ashitakiwa kwa Uhujumu uchumi

    Daktari wa Dental Clinic iliyoko Sinza Mori, Dr Awadh Juma mkazi wa Kunduchi ambaye anatuhumiwa kwa utoaji mimba ambao ni kinyume cha sheria za nchi , amefikishwa kwenye Mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu akishitakiwa kwa makosa 7 likiwemo la utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za...
  8. Bams

    Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Mara nyingi binadamu walio wengi, wanapoyasikia mabaya, kama hayawagusi moja kwa moja, ni rahisi kufikiria kuwa hayawahusu, na wale wanaopatwa nayo wanawaona ama ni wajinga ama hawana uthamani kama walio nao wao. Leo hii, kama kuna mtu au anakuwa ametekwa au kukamatwa na vyombo vya usalama...
  9. Kurzweil

    Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

    Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi...
  10. mkiluvya

    Serikali yafungua akaunti maalum ya Uhujumu Uchumi

    Serikali imefungua akaunti maalum ambayo watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokiri makosa yao wataweka fedha wanazotuhumiwa kuhujumu, ili kuachiwa huru. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga jana Alhamisi October 3. DPP hakuna fedha itakayolipwa kwenye...
  11. Return Of Undertaker

    Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

    Mfanyabiashara Peter Zakaria (58), amerejesha mali zote alizonunua kutoka Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU), akiamini kwa kufanya hivyo ataondoa ‘nuksi’ ya kuandamwa na Serikali. Tajiri huyo mkazi wa Tarime mkoani Mara, anayemiliki vitegauchumi mbalimbali yakiwamo mabasi ya Zakaria...
  12. Mindi

    Uhujumu Uchumi: Idd Simba na wenzake waachiwa huru katika kesi ya kuhujumu shirika la UDA

    Kesi ya kuhujumu uchumi na kuisababishia UDA hasara ya Sh. bilioni 8.4 dhidi ya waziri wa zamani Iddi Simba na wenzake imefutwa kwa amri ya DPP. My Take: Nikiangalia jinsi kesi ilivyokuwa na ukweli kwamba imefutwa na DPP, inasisitiza kile ambacho kimekuwa kikipigiwa kelele: DPP yupo pale kwa...
  13. Mwenda_Pole

    Serikali yamuanika Idd Simba kortini

    Na Happiness Katabazi UPANDE wa jamhuri katika kesi ya kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kulisababishia hasara Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) inayomkabili mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo, Idd Simba, na wenzake umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es...
Back
Top Bottom