WAKAZI wawili wa mkoani Arusha, Seuri Kisamu maarufu kama Mollel (34) na Losieku Mollel (35), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakikabiliwa na kesi mbili tofauti za uhujumu uchumi ikiwamo kukutwa na kilo 1,378.4 za bangi.
Katika kesi ya kwanza, Kisamu amesomewa shtaka lake...