uhuru kenyatta

Uhuru Muigai Kenyatta (born 26 October 1961) is a Kenyan politician, businessman, and the fourth and current President of the Republic of Kenya. He served as the Member of Parliament (MP) for Gatundu South from 2002 to 2013. Currently, he is a member and the party leader of the Jubilee Party of Kenya. Uhuru was previously associated with the Kenya Africa National Union before joining The National Alliance, one of the allied parties that campaigned for his reelection during the 2017 general elections.
He is the son of Jomo Kenyatta, Kenya's first President, and his fourth wife Mama Ngina Kenyatta. Uhuru was re-elected for a second term in the August 2017 general election, winning 54% of the popular vote. The win was formally declared on national television by the Chairman of the Independent Electoral and Boundaries Commission Wafula Chebukati.
However, Uhuru's election was successfully challenged in the Supreme Court of Kenya by his main competitor, Raila Odinga. On 1 September 2017, the court declared the election invalid and ordered a new presidential election to take place within 60 days from the day of the ruling. A new presidential election was held on 26 October, which he won, with 39% participation due to voter fatigue, voter apathy and being boycotted by the opposition.

View More On Wikipedia.org
  1. Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  2. Uhuru Kenyatta awaambia Gen Z "Msikubali haki yenu ipotee, ipambanieni sio mnakaakaa tu mnaogopa"

    https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto amemtuhumu mtangulizi wake huyo kuwachochea vijana nchini Kenya kufanya fujo. Usemi huo wa Rais...
  3. Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

    Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu. Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa.
  4. E

    Happy Birth Day Uhuru Kenyatta

    Im wishing you a wonderful moment at your 63 years birth day
  5. Rais Ruto anavyopita njia ya Uhuru kwa Gachagua

    Ni kama historia inakwenda kujirudia kwenye siasa za Kenya. Ilianza kwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto kiasi cha kuharibu mambo kuanzia ofisini, kwenye kampeni na hata baada ya uchaguzi uliomuweka Dk Ruto madarakani. Kwa sasa ni zamu ya Ruto tena na Naibu Rais wake, Rigathi...
  6. Maandamano Kenya: Uhuru Kenyatta atoa wito viongozi kufanya mazungumzo na Wakenya

    Uhuru Kenyatta Rais wa mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuhusu maandamano yanayoendelea dhidi ya Muswada wa Fedha. Kiongozi huyo wa zamani wa taifa alituma salamu zake za rambirambi kwa Wakenya waliopoteza maisha yao wakati wa maandamano ya Jumanne, akisema ilikuwa haki yao ya...
  7. Rais Ruto adaia Serikali ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na Bajeti ya kuhonga Mahakama

    Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali. Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
  8. M

    Viongozi wetu wajifunze kutoka kwa Uhuru Kenyatta

    Ni muhimu viongozi wetu wajifunze kuwa na busara wanaposhughulika na watu wanaotofautiana nao. NItaeleza. Mnamo mwaka 2018 huko Kenya, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017 ambapo Uhuru Kenyatta alitangazwa kushinda kiti cha urais akimshinda mpinzani wake mkuu Raila Odinga...
  9. S

    Atwoli lectures Uhuru Kenyatta

  10. Uhuru Kenyatta: Mapinduzi ya Jubilee Party yalipangwa na Serikali

    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta sasa anadai kuwa matatizo yanayowasumbua Chama cha Jubilee yalipangwa na serikali ya Kenya Kwanza na kutekelezwa kwa msaada wake. Uhuru alifichua kwamba, ingawa ilikuwa mpango wake wa awali kumkabidhi uongozi mpya wa chama baada ya kustaafu urais, jaribio lililodaiwa...
  11. Nyumba ya Mtoto wa Uhuru Kenyatta yadaiwa kuvamiwa na Polisi

    Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers. Addressing the media on Friday night...
  12. R

    Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  13. William Rutto kumbe naye ni wa ovyo ovyo tu

    Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen! Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe...
  14. Mama yake Uhuru Kenyatta aondolewa ulinzi

    Serikali imeondoa walinzi wa aliyekuwa Mke wa Rais Mama Ngina Kenyatta katika nyumba yake ya Gatundu na Muthaiga. Kulingana na maafisa, Mama Ngina, ambaye pia ni mamake Rais wa zamani Uhuru Kenyatta, maafisa wake wa ulinzi waliondolewa jioni ya leo muda wa saa kumi na moja jioni huku maafisa wa...
  15. Uhuru Kenyatta afutilia Mbali wito wa Kustaafu Siasa baada ya Kutishwa na “Wasiojulikana”

    Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta, jumatatu hii ametupilia mbali ushauri na maoni ya Viongozi mbalimbali waliotaka astaafu Rasmi siasa za Kitaifa Nchini humo. Picha: Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta Akizungumza kwenye halfa moja ya Kitaifa ya Chama Cha Jubilee iliyofanyika jumatatu ya...
  16. Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  17. Uhuru Kenyatta afukuzwa Uenyekiti wa Chama cha Jubilee

    Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya. Kwa mujibu wa Kega ni kuwa uongozi wa Rais Mstaafu #UhuruKenyatta ulikoma Machi 2023 na hivyo Katiba...
  18. Uhuru Kenyatta: Polisi acheni kutumika vibaya na Serikali

    Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali. Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi. Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
  19. Shamba lingine la Uhuru Kenyatta lavamiwa

    Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok. Duru za kuaminika zinasema kuwa wiki iliyopita Mbunge wa Eneo hilo Ken Aramat, aliapa kuongoza morans katika harakati za...
  20. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta akadiria hasara ya Tsh bilioni 1.2

    Familia ya Kenyatta inakadiria hasara ya bilioni 1.2 pesa za Tanzania (sawa na milioni 70 za Kenya) kufuatia uvamizi wa shamba lake na watu wasiojulikana hapo Jana. Wavamizi waliiba kondoo zaidi ya 1,400 aina ya Dorper mchana peupe, ambapo kondoo mmoja aina ya Dorper huuzwa kwa takriban tsh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…