Uhuru Stadium (formerly known as the Tanzania National Stadium) (Uwanja wa Uhuru in Swahili) is adjacent to the National Stadium in Miburani ward of Temeke District in Dar es Salaam, Tanzania.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
Karen Tausi Mbowe ambaye ni Mjumbe wa Kamati Tendaji jukwaa la Wahariri, Muhariri na Mwandishi wa Habari amesema, Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma.
Ni kweli Waandishi wa Habari wana Uhuru wa kuwasilisha kazi zao kwa jamii hasa wakati huu wa Uchaguzi?