GE2025 Karen Mbowe: Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma

GE2025 Karen Mbowe: Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Karen Tausi Mbowe ambaye ni Mjumbe wa Kamati Tendaji jukwaa la Wahariri, Muhariri na Mwandishi wa Habari amesema, Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma.

Ni kweli Waandishi wa Habari wana Uhuru wa kuwasilisha kazi zao kwa jamii hasa wakati huu wa Uchaguzi?

 
Karen Tausi Mbowe - Mjumbe wa Kamati Tendaji jukwaa la Wahariri, Muhariri na Mwandishi wa Habari ameyasema haya akiwa kwenye interview na Clouds.



​
 
Back
Top Bottom