Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,
1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari?
3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari...