Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo.
Akizungumza na...
KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini.
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
digital privacy
digital privacy 2023
digital rights
haki ya faragha
haki za binadamu
pegasus
udukuzi
uhuruwahabari
ulinzi wa data
ulinzi wa taarifa binafsi
Changamoto za Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari
Tanzania imejitolea kuheshimu viwango vya kimataifa, kikanda, na kikatiba vya uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza. Lakini, vipengele vya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (MSA) havikidhi viwango vinavyokubalika katika kukuza...
Utangulizi
Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida “kushangaa”. Baada ya kuwa na ujuzi juu ya jambo hilo, halitushangazi tena. “Tutakushangaa”...
Bunge la Tanzania limetunga Kanuni mpya za mwaka 2023, ambazo zimeweka adhabu kwa waandishi wa habari na masharti ya namna ya kupiga picha ndani ya ukumbi wa Bunge.
Kanuni hizo ambazo zimechapishwa katika Gazeti la Serikali (GN) ya Machi 21, 2023 zimeeleza maeneo yanayoruhusiwa kupiga picha na...
Nimemsikia Waziri Nape akisema serikali italinda uhuru wa kujieleza (Serikali italinda uhuru wa kujieleza). Maneno haya yametokana na serikali kuwasilisha Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari tarehe 10 Februari 2023 bungeni
Je, ni kweli yanalenga kuimarisha uhuru wa kujieleza nchini...
ZANZIBAR
WADAU wa habari Zanzibar wamesema ipo haja ya kufanyia marekebisho sheria ambazo zinakinzana na upatikanaji wa habari na uhuru wa vyombo vya habari ili kuchochea uwajibikaji na upatikanaji wa taarifa kwa lengo la kuleta maendeleo katika jamii.
Wameeleza kwamba suala la upatikanaji wa...
ZANZIBAR
CHAMA cha waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimesema kuna haja ya taasisi husika za mabadiliko ya sheria kuweka kipaumbele kufanyiwa marekebisho yanayoendana na matakwa ya wadau katika sheria za habari Zanzibar ili zitoe mazingira ya uwepo wa uhuru wa vyombo...
Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni Uhuru wa Kujieleza, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kuheshimu Haki za Binadamu
Demokrasia ni pamoja na Vyombo vya Habari kuwa Huru na Wananchi kushiriki kikamilifu katika Masuala yanayogusa Maisha yao. Hii hujenga Jamii yenye kuiwajibisha Serikali...
Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo.
Amefafanua, "Leo hakuna Habari za Kiuchunguzi, hata Makala zinazoandikwa ni za kawaida. Sheria hii...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili hii
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Siku ya Mei 3 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Nchini Tanzania, siku hii imeadhimishwa Kitaifa jijini Arusha, mgeni...
Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu.
Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha Stand News wiki iliyopita, ambapo watu kadhaa walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi.
Sheria mpya...
Polisi imewakamata watu 6 kutoka Tovuti ya Habari ya Stand News kwa tuhuma za njama ya kuchapisha machapisho ya uchochezi. Ofisi ya Tovuti hiyo imevamiwa na zaidi ya Maafisa 200
Polisi wamesema waliidhinishwa kutafuta na kukamata nyenzo muhimu za Habari. Mapema mwaka huu, Polisi walivamia...
Katika pita pita za kutafuta Habari, nilikutana na video ya Mwanahlisi TV ambayo inadai "Kunje Ngumbale Mwiru" mtoto wa Ngumbale Mwiru akiomba wazee, sijui ni wazee gani,waingilie kati kesi ya Mh. Mbowe. Huyu Kunje ndio nani na Kinje ni nani? Hayati Ngombale Mwiru ndio huyu huyu anaiitwa...
Spika wa Bunge anapotumia Bunge kunyamazisha wanannchi nikinyume kabisa na Katiba. Anapoingilia Uhuru wa vyombo vya habari ni kinyume kabisa na sheria za nchi. Kitendo cha spika kuanza kuvifunga mdomo vyombo vya habari kwa kisingizio kwamba wanaandika na kuripoti habari zakupotosha Ni kinyume...
Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote?
Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali?
Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena?
Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.