Wanataaluma wamepitia katika kumbo la wakati ambao historia imewaachia jeraha kubwa la fedheha juu ya kile kinachoitwa uhuru wa kufikiri. Uhuru pekee wa wanataaluma na nafasi muhimu ya maisha ya Mwanazuoni ni uhuru wa kufikiri.
Uwezo na tabia za Wanazuoni kuyaangalia masuala mbalimbali katika...
Nimewaza mpaka nimewazua ; kama Ulikosa tafakuri hii Usiku wa Jumamosi (Jana) basi jumuika nami Leo hii tuzichangamshe bongo zetu tulizotunukiwa na Muumba 👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/safari-ya-akili-huru-tafakuri-ya-maisha-fikra-na-uhuru-wa-ndani.2348747/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.