uhuru wa kutoa maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Grace Shiyo: CCM hakuna uhuru wa kutoa maoni, wanadumisha fikra za Mwenyekiti

    Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Grace Shiyo amesema CCM hakuna uhuru wa kutoa mawazo, bali mawazo ya Mwenyekiti ndiyo yanasikilizwa. "Kwa ufupi CCM hakuna uhuru wa maoni, CCM siku zote wanatembea kwamba zidumu fikra za mwenyekiti. Kwahyo unapokuwa na kira tofauti na Mwnenyekiti unakuwa...
  2. Paul Alex

    Kweli vijana Tanzania tumedhibitiwa na system, sawa hatuwezi kuandamana ila msituue!

    Ni kujikosea heshima kupigana na mtu aliyefungwa kamba mikono na miguu. Askari anayejikubali hawezi kwenda kuwinda wanyama mbugani..roho yake lazima imsute. Yeye amefundishwa kupigana na wapiganaji, Ni kwanini akamtafute mnyama asiyeweza kujitetea? Simwongelei Sativa, hao ni wengi na...
  3. Cute Wife

     Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote kutoka kwa Muliro, IGP Wambura wala Waziri Masauni juu ya utekwaji wa Sativa, kuna nini?

    Wakuu salam, Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi. Edga Mwakabela (Sativa) Tulitegemea kuwe na uwajibikaji kutoka kwenye vyombo vya usalama kwa Muliro, IGP na hata Waziri wa Mambo...
  4. Mpigania uhuru wa pili

    Kwanini Arusha na kuna nini?

    Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko? Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina uhakika ukienda mtaani ukiuliza wananchi hakuna anayemjua hata mimi ndio nimemjua jana! Kama...
  5. radika

    ANGALIZO: Usimuache ndugu yako aondoke peke yake na watu wanaojitambulisha kama polisi

    Si mara moja polisi kuhusishwa na matukio ya upotevu wa watu wanaowakamata pale wanapoondoka nao na kutoweka kwenye mazingira ya utata au kupotea moja kwa moja. Kwa yaliyotokea kwa ndugu yatu Sativa (Edgar) ni muendelezo wa hatari iliyopo pindi ndugu zetu wanapokuwa katika mikono ya polisi...
  6. Bams

    Vyombo vya Usalama visifanye kazi kama Makundi ya Kijambazi

    Tanzania ipo katika giza nene la kiutawala. Tatizo kubwa ni Serikali na watawala. Watanzania tunalalamikia katiba mbaya, lakini ukweli ulio wazi, hata hiyo katiba yenye kasoro nyingi, haifuatwi wala kuheshimiwa na watawala na vyombo vya dola. Katiba na sheria zetu zinaeleza na kutoa muongozo...
  7. Cute Wife

    Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?

    Wakuu, Naamini wote tumeshapata taarifa juu ya tukio la kijana Sativa kupatikana, ambapo alitekwa na watu wasiliojukana na kupatikana leo katika hifadhi ya Katavi. Edga Sativa (Sativa) Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na...
  8. Roving Journalist

    Kamanda wa Polisi Katavi: Edgar Mwakabela (Sativa255) anasema alichukuliwa Dar hadi Arusha na kisha kutupwa Katavi

    JamiiForums imemtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kaster Ngonyani kuhusiana na tukio hilo ambapo amesema "Ndio ni kweli, taarifa za tukio hilo lipo na tayari tumeshaenda eneo la tukio na Mgonjwa sasa hivi yupo Hospitali ya Wilaya ya Mlele eneo...
  9. Cute Wife

    Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

    Wakuu Salama, Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio. Edga Mwakabela (Sativa) Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye...
  10. Cute Wife

    Akaunti ya TCRA imeondolewa X (Twitter), kuna nini?

    Wakuu salam, Kama utakuwa mtembeleaji wa mtandao wa X utakuwa umeona hili. Accout ya TCRA imeondolewa X, na pia TCRA imeondoa X kwenye list ya matandao ambayo wanapatika! Je, nini kimetokea? Anko Elon atakuwa amewatimua baada ya sekeseke la kutaka kutufungia X? Au sababu wamegoma kuruhusu...
  11. Kaka yake shetani

    Wakenya wakifanikiwa kwenye maandamano yao basi watatuona Watanzania wajinga sana kwenye nchi yetu

    Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri. Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui shangazi wa mbagara matitu. Huku kwetu tulishatishiwa tukimbilie Burundi au kuwaishwa fasta kabla...
  12. Pascal Mayalla

    Live on TBC Mizani: Deodatus Balile, Salome Kitomari na Mhadhiri Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania

    Watch live, kipindi cha Mizani on TBC M/Kiti wa TEF - Deodatus Bslile, M/Kiti MISA Tan - Salome Kitomari, na Mhadhiri SJMC - Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania. https://www.youtube.com/live/tmV6-5pXEQw?si=DxANnu0qNajL6iLf Karibu. Paskali
  13. Roving Journalist

    Kibanda: Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ina hali ngumu, isingekuwa ya serikali ingefungwa

    https://www.youtube.com/watch?v=xO0iP6Ko22g Baada ya Rais Samia Hassan Suluhu kuwa mgeni rasmi wa kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jana Jumanne Juni 18, 2024, Kongamano linaendelea Jumatano Juni 19, 2024...
  14. Erythrocyte

    Tido Mhando: Awamu ya Hayati Magufuli imechangia 'Comedy Journalism'

    Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando. Mhando ameyasema hayo alipotoa hotuba yake kwenye kongamano la Maendeleo ya sekta ya habari linaloendelea Dar es Salaam Ni nini...
  15. Analogia Malenga

    Rais anashiriki kongamano la habari huku waandishi wakiendelea kuminywa

    Ndani ya Wiki moja waandishi wa habari watatu wamekamatwa na Jeshi la Polisi tena ndani ya Wiki ambayo Rais Samia Suluhu anazidua kangamano la maendeleo ya Sekta ya habari, huku Polisi mkoa wa Mwanza likiendesha Oparesheni ya kukamata waandishi kutoka Mikoa ya Simiyu na Mara ===== Pia soma...
  16. Analogia Malenga

    Simiyu: Mwandishi akamatwa na Polisi

    Mwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024. Baada ya kukamatwa Polisi walikwenda kukagua Nyumbani kwake na wakachukua vifaa vyake vyote vya kazi ikiwemo simu la...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024

    Rais Samia Hassan Suluhu ndiye mgeni rasmi wa kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, leo Jumanne Juni 18, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=vobBz6hXoWo SUNGURA: KATI YA WANAHABARI 20,000 NCHINI, NI 4,000 TU NDIO WANA MIKATABA Ernest Sungura...
  18. Bams

    Pre GE2025 Upuuzi kuifungia Twitter, kama tunachukia tabia chafu, tuifungie Serikali

    Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5. Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki kuwa mtandao wa X (zamani Twitter) ufungiwe eti unahamasisha ushoga. Ukiwauliza umehamasisha wapi...
  19. Replica

    Waziri Nape akiri kufuatilia mijadala inayoendelea kuhusu mtandao wa X kufungiwa, asema TCRA itatimiza wajibu kuhakikisha watoto wanakuwa salama

    Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
  20. Cute Wife

    LHRC yatoa tamko kulaani kitendo cha mwandishi kukamatwa, inasemekana ndiye wa kwanza kuripoti tukio la RC kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

    TAARIFA KWA UMMA KUKEMEA UDHIBITI WA UHURU WA HABARI NA UNYANYASAJI WA WAANDISHI WA HABARI Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimepokea kwa masikitiko taarifa za kukamatwa kwa mwandishi wa habari, Bi. Dinna Maningo, aliyekamatwa nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara, Juni 13, 2024 saa mbili...
Back
Top Bottom