uhuru wa kutoa maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mwandishi aliyeandika tuhuma za RC Simiyu adaiwa kukamatwa na Polisi

    Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024. Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu...
  2. L

    Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..

    Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu...
  3. Cute Wife

    Serikali, kutoa taarifa kutetea wanyonge ni kosa Kisheria? Malisa kafanya kosa gani kupaza sauti ili walimu walipwe stahiki zao?

    Wakuu kwema? Serikali sasa huku mnapotupeleka kubaya, na ni uonevu wa wazi wazi kabisa. Yaani mtu anapaza sauti walimu wanadai stahiki zao badala mshughulikie malalamiko hayo mnaedna kumkamata aliyepaza sauti eti katoa taarifa bila kibali kwenye ukurasa wake wa Instagram! Mtu anahitaji kibali...
  4. R

    Ukiwa mtaani au kwenye mikusanyiko ya kijamii unajihisi huru kutoa maoni yako juu ya mambo mbalimbali nchini?

    Wakuu, Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni...
  5. P

    Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

    Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao. Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kinachoendelea ni maana halisi ya Uhuru WA kutoa Maoni

    Habari wakuu! Hichi kinachoendelea ni moja ya Maendeleo makubwa ambayo Kwa awamu ya tano isingewezekana, serikali ipongezwe Kwa kurejesha Maendeleo haya ya Watu kuwa Huru. Kimsingi nchi inaamani, inautulivu, Watu wanaparangana na kutoa Maoni Yao Kwa Amani bila ya hofu. Unajua kuna Watu wanaweza...
  7. aleyability

    SoC03 Utawala Bora wenye Mabadiliko yenye nguvu kwa Maendeleo ya Kesho

    Utawala bora ni mfumo wa utawala unaolenga kuwahudumia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji. Inalenga kujenga serikali imara, yenye nidhamu, na inayotekeleza sera na mipango kwa manufaa ya umma. Utawala bora unahusisha uwazi katika maamuzi ya serikali, uhuru wa kujieleza, haki za...
  8. Roving Journalist

    Msemaji wa Serikali Zanzibar: Dunia yote inasisitiza uhuru wa kutoa maoni

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Zanzibar), Hassan Khatib Hassan akielezea mfumo uliopewa jina la 'Sema na Rais Mwinyi' ambao anadai umesaidia kuwepo kwa #UhuruWaKujieleza kutokana na Wananchi kupata nafasi ya kumuuliza Rais maswali na kutatuliwa kwa changamoto zao Anasema “Dunia yote mashirika...
  9. Lady Whistledown

    Zanzibar: Ashikiliwa kwa kujirekodi akiwatolea Lugha ya Maudhi Wazanzibari

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
Back
Top Bottom