Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini.
Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
bbc swahili
freeman mbowe
kesi ya mbowe
kesi ya ugaidi
mahakamani
mahojiano
rais samia
salim kikeke
ugaidi
uhuru vyombo vya habari
uhuruwamahakama
upinzani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.