Ndugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni...
Ni content but in reality inachoma kama pasi.
Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii.
Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu.
Happy Friday.
Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe.
Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa formula ile ile ya JPM ya udikteta. Likaitisha kikao haraka haraka, bila hata kumsikiliza, wakamfukuza...
Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.
Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu.
Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley.
Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani
https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili.
Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi.
Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa.
Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani:
- Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah):
Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI
Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada
Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi?
https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE
Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa
Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo.
Watu...
Anonymous
Thread
bomba
hakuna maji
maji
maji safi
mwanza
safi
uhuru
wakazi
HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43.
Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
Unaweza kumwita kwa majina utakayo: rais wa ombaomba, nguli wa kuomba, mtoto wa mjini na mengineye.
Hata hivyo, unaweza kumwita mwamba aliyefikia hatua yakutunishiana misuli na mamlaka
unamkumbuka ombaomba huyu maarufu nchini? Alijulikana kwa jina moja la Matonya. Jina lake likawa kiwakilishi...
Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu.
Tuwe na mwisho mwema.
Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza.
Kama haitoshi...
Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu.
Sasa hivi hao watu wanapiga kelele kutaka Simba ifungiwe kuingiza mashabiki, wanadhani CAF ni shangazi zao. Watu wanachukulia mambo...
Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla.
Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu!
Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu kibaya au ni mtu mbaya, hapana, lakini kuna mambo yanatokea ambayo sijayapendi. Mchumba wangu ni daktari...