uhuru

  1. Stephano Mgendanyi

    Uhuru na Kazi: Uanzishwaji wa "Mtiro High School" Kijijini Busekera

    UHURU NA KAZI: UANZISHWAJI WA "MTIRO HIGH SCHOOL" KIJIJINI BUSEKERA Jimbo la Musoma Vijijini limeamua kuongeza idadi ya "High Schools" hasa za masomo ya sayansi kwa kujenga na kuboresha miundombinu ya elimu kwa baadhi ya sekondari zake za Kata. Idadi ya "High Schools" Jimboni mwetu: (i)...
  2. Father of All

    Tunasherehekea udhuru au uhuru?

    Leo, Tanganyika aka danganyika, na hata Zenj zinasherehekea siku ya uhuru. Kwa uchakachuajin uchaguzi, utekaji, mauaji, ufisadi, uchaawa, ubabaishaji, maisha magumu kwa walio wengi na mazabe mengine mengi, kweli tunasherehekea uhuru au udhuru? Je watanzania kwa ujumla wao ni huru? Je haya ndiyo...
  3. S

    Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  4. Waufukweni

    DC Moshi, James Kaji: Ningekuwa na mamlaka, ningetimua wote waliokosa kushiriki maadhimisho ya Uhuru

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi, James Kaji, amesema hatawavumilia watumishi wazembe na kuagiza majina ya waliokwepa kushiriki maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika yawasilishwe kwake mara moja ili wachukuliwe hatua. Kaji ametoa onyo hilo leo Jumatatu, Desemba 9, 2024, wakati wa maadhimisho...
  5. Waufukweni

    Makundi mbalimbali yaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kutunza mazingira

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti. Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
  6. Waufukweni

    Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548

    MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na 1526 wanabaki...
  7. Ojuolegbha

    Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa Tanzania. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
  8. Rozela

    Pendekezo: Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika Ifutwe rasmi

    Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa. Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio cha sikukuu ya uhuru wa nchi ambayo haipo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
  9. Mejasoko

    Uhuru wa Kweli - Futa Uchawa

    Ikiwa Leo tunatimiza miaka 63 tokea tupate uhuru wa Kisiasa mnamo tarehe 9. 12. 1961, na Bado Taifa Lina changamoto kubwa juu ya uhuru huo ikiwa imesalia miaka 37 tu kufikia karne Moja. Kwa maono yangu uhuru wa siasa na bendera ulikua udanganyifu mkubwa na sio uhuru, ilikua mabadiliko ya sura za...
  10. chiembe

    Kila Wizara/Idara iandae documentary ya mambo inayoshughulikia tangu uhuru, kisha iwasilishwe kwa vyombo vyote vya habari

    Naona kama hakuna makala sheheni ambazo zitaelezea hali ya nchi tangu uhuru zilizoandaliwa na kila Wizara/Idara ili kutanua wigo wa ufahamu wa jamii ya sasa. Hata kama zipo, basi kuna taasisi (hasa TBC na Idara ya Habari Maelezo) wamezihodhi, na hawataki jamii izifikie. Kama nchi tunahitaji...
  11. ommytk

    Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  12. Wakusoma 12

    Ushauri: Fungate ya uhuru

    Karamu za fahari, mabembe ya kupepea. Na majumba mazuri, wamekwisha jijengea. Watembea kawa magari, hivi zimewazow "Viongozo wa Afrika Wanaotumia mapesa, Wakaogelea anasa, Nayo mitindo ya kisiasa, Wakavamia kwa sesa.." "Viongozi wa Afrika, wanaotawala kwa mabavu, Kujifanya ni washupavu, Wao...
  13. Wakusoma 12

    Miaka 63 ya uhuru Bado watanganyika tupo kwenye makucha ya watawala. Tupitie mashairi ya development kutoka kwa mshairi Kundi Faraja.

    A man of the people Enters his office to sit on the throne of Party and State, His stick of power Across the table. He looks into the files To see the demands Of the millions of people Who for years since Uhuru Have just managed to survive They ring out one message Man of the people You have...
  14. F

    Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania (iliyokuwa Tanganyika zamani)

    Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo. Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma...
  15. Mtoa Taarifa

    Leo Desemba 9, 2024 ni Kumbukumbu ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika, una ujumbe gani kwa Viongozi na Wananchi wake?

    Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini. Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila...
  16. Mohamed Said

    BAKWATA Mwanza wasoma dua ya kuwarehemu wapigania Uhuru

    BAKWATA Mwanza wamefanya khitma kuwarehemu wake kwa waume waliopigania Uhuru wa Tanganyika. Bi. Mwajame Dossa Aziz atoa shukurani kwa BAKWATA kwa kumremu baba yake na wengine waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao. https://youtu.be/3PyU0Qx-7MU?si=qyZ9R-NZCnD2AKX9 Leo tarehe...
  17. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya miaka 107 ya uhuru wa Finland

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA UHURU WA FINLAND Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki sherehe ya Maadhimisho ya miaka 107 ya Uhuru wa Taifa hilo iliyoandaliwa na Ubalozi wa Finland hapa nchini. Akizungumza katika...
  18. THE BIG SHOW

    Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  19. mdukuzi

    Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

    Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
  20. The Watchman

    LGE2024 Jaji warioba ametoa pongezi, asema haki na uhuru umefanikisha uchaguzi

    Salaaam wakuu, tafadhali naomba kujua uhalisia wa hii taarifa iliyowekwa kwenye gazeti hili la Mwananchi khusu Mzee warioba kuwa ametoa pongezi, haki na uhuru umefanikisha uchaguzi.
Back
Top Bottom