uhusiano

  1. tpaul

    Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

    Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana. Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
  2. S

    Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  3. The Watchman

    Makonda: Nyama tuliyochoma Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya. "Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
  4. T

    Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na akili nyingi za darasani na kuwa kiongozi bora!?

    Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi. Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote. Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza...
  5. Wakusoma 12

    Trump aingiwa na ubaridi. Amtaka Zelensky amuombe radhi hadharani ili arudishe uhusiano na Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao wawili juzi kuzozana mbele ya Waandishi wa Habari katika Ikulu ya Marekani (White House) kitendo...
  6. Jack Daniel

    Ewe,mjasiriamali jenga uhusiano mzuri na wateja wako.

    Salaam jamiiforum Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa, Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k. Leo tuangazie procedures za mfanyabiashara mdogo au mjasiriamali wanao miliki biashara chini ya milioni hamsini hadi...
  7. T

    Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa ishara kwamba yuko tayari

    Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume. Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi...
  8. R

    Uhusiano wako na ndugu zako wa baba upo sawa ?

    Mimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu. Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana. What's your story?
  9. Mshangazi dot com

    Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

    Ilikuwaje, je alibadilika tabia, alipunguza mawasiliano, uligundua uaminifu hakuna au jambo gani lilitokea ukajua wewe na yeye hamna future na mtaachana. "Nalivua pendo by Mwasiti" ikawaburudishe https://youtu.be/izcxbUPTrUQ?si=hIdmOxxm9T1OTO0B
  10. CHASHA FARMING

    Seedless Orange haina uhusiano na GMO, ni historia inakataa kabisa

    Watanzani wengi kwanza tukubali hatuna elimu ya GMO zaidi ya story za vijiwe vya kahawa na Tangawizi huko ndio tunalishana matango poli, Pia kwa uelewa wetu mfinyu tunazania GMO ni mazao yasio kuwa na mbegu, hizi ni akili za kijinga sana. SEEDLESS ORANGES Seedless Oranges ambayo ni navel...
  11. O

    Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  12. Mohamed Said

    Uhusiano wa Yanga na TANU Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/7-aawj-gB-8?si=MdmVCSuiHMShsedm
  13. Ndebile

    Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  14. Yoda

    Hospitali ya Sinza Palestina ina uhusiano gani na Palestina?

    Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
  15. Ojuolegbha

    CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
  16. Huihui2

    Wajue M23, historia na uhusiano wao na Rwanda

    M23 ni kikundi cha waasi wa Kikongo kinachotegemezwa na Rwanda na kinachofanya kazi katika Mashariki mwa Kongo. M23 inasimama kwa "Movement of 23rd of March" (Harakati ya 23 Machi), jina lililotokana na makubaliano ya amani waliyofanya na serikali ya Kongo mwaka wa 2009. M23 ilitokana na CNDP...
  17. Richard

    Congo DRC yavunja uhusiano na Rwanda kufuatia mzunguko wa Goma unofanywa na waasi wa M23

    Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa. Wizara ya mambo ya nje ya Congo DRC imetangaza leo kuwa inawaondoa watumishi wote walioko katika ofisi ya ubalozi wa Congo DRC...
  18. Ojuolegbha

    Uhusiano baina ya Tanzania-Czech kung’ara

    Uhusiano baina ya Tanzania-Czech kung’ara Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano duniani kwa sasa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit...
  19. Dogoli kinyamkela

    Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
Back
Top Bottom