uhusiano

  1. Chagu wa Malunde

    Uhusiano wa India na CCM wazidi kuimarika. CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kuimarisha diplomasia .

  2. ukwaju_wa_ kitambo

    Uhusiano wa producers na studio wanazofanya kazi

    PRODUCERS NA STUDIO.. 1. Kumthamini Producer Master J na Hermy B waliamua kujiweka kando kiasi na kuleta maproducer wengine kusimamia studio hizo. Master Jay alimchukua Marco Chali kutoka Kama Kawa Records takriban miaka 7 iliyopita, huku Hermy B akimtoa Pancho Latino kutoka Dhahabu Records na...
  3. Yoda

    Komwe ni nini na lina uhusiano gani na wanawake?

    Komwe ni nini? Lina/ina uhusiano gani na wanawake? Kwa nini Kila linapozungumziwa komwe huwa linahusianishwa na wanawake? Linavutia au halivutii kwa wenye nalo?
  4. G

    Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  5. Tlaatlaah

    OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

    ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana.... hongereni sana kwa hatua mliyofikia, Mungu...
  6. G

    Top 10, Nchi zinazoongoza kwa kuwabana wanawake kwenye ajira, Kuna uhusiano na dini ?

    Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
  7. Oppo A17k

    Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu"...
  8. GoldDhahabu

    Pombe ina uhusiano gani na kelele?

    Siku moja nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kama angekuwa na redio kubwa kama ya rafiki yake fulani, asingeenda kunywa pombe baa. Angekuwa anazichukua na kwenda kuzinywea nyumbani kwake akiusikiliza muziki mzito kutoka kwa "liredio" lake. Miziki pia inaonekana kama ni kitu cha kawaida baa. Hiyo...
  9. L

    CPC na CCM vyaboresha uhusiano wao kutoka wa kirafiki na kindugu hadi kuwa msingi imara wa kukuza fursa za kiuchumi na uwekezaji

    Tangu ufanyike mkutano wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti ikiongozwa na Xi Jinping, imekuwa ikitoa mawazo mapya, mitazamo mipya na hatua mpya za kuongoza kazi ya kimataifa ya Chama. Chama cha CPC pia kimefanya ujenzi wa Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja...
  10. Mturutumbi255

    Misingi Imara ya Uhusiano wa Kudumu: Siri za Upendo na Uelewano wa Kweli

    Katika ulimwengu wa leo, mahusiano yanaweza kukumbwa na changamoto nyingi kutokana na mabadiliko ya kijamii, teknolojia, na mtindo wa maisha. Mada hii inahusu jinsi wanandoa au wapenzi wanaweza kuweka msingi imara kwa uhusiano wa kudumu. Hapa kuna maeneo muhimu ya kuzingatia: 1. Mawasiliano ya...
  11. M

    Kuna uhusiano wowote wa masikio kuwasha na ushirikina

    4
  12. Ojuolegbha

    CPC na CCM kuendelea kudumisha uhusiano wa kihistoria

    WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi, Komredi Tang Dengjie. Katika kikao hicho kilichofanyika Juni 21, 2024...
  13. matunduizi

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya muonekano/unadhifu na Kupendelewa

    Unadhifu wa kimavazi, kiakili na kimaneno (lugha) unauhusiano mkubwa sana na kupendelewa au kupewa kipaumbele kwenye jamii. Watoto waliovaa vizuri na wasafi hata kwenye bus au hospitalini kila mtu anataka kuwa karibu nao. Ukiwa katika safari za vijijini makonda na wapiga debe wanapata taabu...
  14. L

    China na Tanzania zazindua Mwaka wa Utamaduni na Utalii wakati zikiadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia

    China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni na kiutalii na kuimarisha mawasiliano kati ya watu wa pande mbili katika sekta mbalimbali. Hivi...
  15. Roving Journalist

    Dkt. Biteko aitaka EWURA kupima uhusiano wa Rasimali na mabadiliko ya Maisha ya watu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 ambapo ametoa maelekezo mahsusi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonesha mafanikio na changamoto katika...
  16. VINICIOUS JR

    Kuna uhusiano gani kati ya kua na mawazo ya kimasikini na kutokuwa na vipaumbele katika maisha au ni elimu ndogo katika jamii?

    Kwema wakuu. Kama mada inavyojieleza, umekuwa na tabia ya watu katika jamii zetu kufanya maamuzi flani bila kujua ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi au kipi kianze au kipi kifate. Mfano unakuta mwanaume anaoa wakati hajejipanga vizuri (kiuchumu) kimaisha matokeo yake kipato kinachopatikana ni...
  17. Alejandroz

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya mfumo wa gesi na gear box ya lorry?

    Salaam wanafamilia, Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
  18. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
  19. TZ-1

    Uhusiano wa umri wako na wewe

    UMRI WAKO NI TABIA YAKO! HIVI NDIVYO ILIVYO, JIFUNZE TABIA 14 KATIKA UMRI TOFAUTI TOFAUTI. Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti 1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa. 2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani. 3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi...
  20. kavulata

    Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
Back
Top Bottom