uhusiano

  1. Uhusiano na mahusiano

    TOFAUTI KATI YA UHUSIANO NA MAHUSIANO Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA CHALINENEE Kuna changamoto kubwa binadamu anaipata nanapojikuta katika uhusiano badala kuwa na mahusiano, kwa tafsiri isiyo rasmi, natumia lugha ya picha kuelezea mazingira ambayo unajikuta unampenda mtu kuliko...
  2. Kuongeza Uhusiano na Kuchochea Maendeleo kupitia Mpango wa Msingi wa India-Bhutan

    Msingi wa India-Bhutan, taa ya ushirikiano kati ya nchi jirani za India na Bhutan, hivi karibuni umetangaza wito kwa mapendekezo kutoka kwa mashirika yanayotafuta msaada wa kifedha kwa miradi inayostawisha kubadilishana na kushirikiana kwa pande zote mbili. Hatua hii inawakilisha fursa muhimu...
  3. L

    Ziara ya Kansela wa Ujerumani nchini China yaonyesha juhudi za Ujerumani kurejesha uhusiano wa awali wa na China

    Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
  4. Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  5. Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
  6. Indonesia, nchi ya kiislamu yakubali kuwa na uhusiano na Israel

    Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake.... ==== OECD Secretary-General Mathias Cormann Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize ties with Israel in exchange for Jerusalem’s approval of its request to join the Organization for...
  7. Kuna uhusiano gani kati Wanawake wembamba na tabia ya hivi, mdomo, roho na mbaya

    Kwema Wakuu! Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya. Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu...
  8. Uhusiano unao nichanganya kati ya mafua na kuziba kwa masikio

    Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani). Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua. Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja...
  9. Je, kuna uhusiano wotote kati ya nyumba unayoishi na kufunguka mambo yako?

    Habari, Dah leo nimekumbuka jambo ambalo lilishawahi nitokea miaka 7 nyuma sasa katika kuunganisha kwangu dot naona kuna kitu ambacho naweza kuwa sahihi ama la hasa kwenye swala la nyumba zetu hizi za kupanga na upatikanaji wetu wa ridhiki. Na hizi ndo historia ya nyumba nlizokaa kwa upande wa...
  10. Uhusiano wa Kristo na Krishna

    HISTORIA YA KRISHNA ILIKUWEPO MIAKA 2900 ILIYOPITA KABLA YA KRISTO Uhindu na Ukristo una mambo mengi yanayofanana Licha ya tofauti zao, uhindu na ukristo una mfanano mkubwa. na hii ni muhimu sana katika suala la maisha na mafundisho ya watu wawili wakuu wa dini hizi za ulimwengu - kristo na...
  11. Nilikuwa na Uhusiano na Jini, leo nimemkataa mazima

    Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa. Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha uchumi wa kati na wazazi wangu si matajiri kama watu wengine walivyo. Ila wananipenda nashukuru...
  12. L

    Uhusiano kati ya China na Afrika waonesha dosari zilizopo kwenye uhusiano kati ya Afrika na nchi za magharibi

    Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
  13. Kuuliza si ujinga, kuna uhusiano wowote kati ya urais na udaktari?

    Wadau labda sifahamu ni sifa miongoni mwetu nchi za kiafrika au Tanzania tu? Nimeona marais wetu especially kizazi kipya wanapewa au kutunukiwa sifa ya Udaktari. Ni kwamba ukiwa Daktari unaweza kuwa rais au udaktari ni chaka la Urais au tumedharau cheo cha udaktari na mpaka kila mtu...
  14. Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  15. Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

    Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
  16. Nchimbi: Uhusiano wa Tanzania na Urusi kuboreshwa kunufaisha pande zote

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
  17. Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  18. Unataka uhusiano wako udumu? Soma hapa

    Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mpaka utakapokutana na mtu sahihi ambaye atakupenda bila masharti. Jizawadie, pata mtoko wako mwenyewe, na ujijali. Huna haja ya kuwa kwenye mahusiano ili kufurahia maisha yako. Jambo baya zaidi maishani si kuwa peke yako, bali ni kuishia kuwa na mwenzi...
  19. Uhusiano wa taifa la Israel na kanisa

    Taifa la Israel ndiyo msingi wa kanisa. Ukiangalia emblem ya Israel ni kinara cha TAA Saba kama kinavyoonekana hapo Kwa wale wanaoelewa maandiko, Kanisa LA Mungu limeundwa juu ya msingi wa makanisa Saba. Makanisa hayo ni efeso, smyrna, pergarmo, thytira, sardi, Philadelphia na leodecea. Hayo...
  20. Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

    Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:- |-• Wanaume wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…