Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER๐๐ Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990.
Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
Huu ndiyo ukweli kuwa Chadema ikisambaratika CCM itakuwa imara kuliko wakati wo wote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe.
Ikitokea Mbowe akajitoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha uenyekiti Taifa Chadema basi CCM itakuwa tumbo moto. Hii itawapa nguvu baadhi ya makada wa CCM...
Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM
Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam
Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani kubwa kwao katika kuleta maendeleo.
Makalla ameeleza hayo leo Novemba 21, 2024 akizungumza katika...
Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana.
Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha kuipeleleza Israel, lakini mwisho wa siku wakaja gundua kuwa kiongozi wa kitengo hicho ni mtu wa...
Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani au nje ya chama.
Msingi wake una mizizi ya kitaifa na kimataifa.
Imejengwa kukabiliana, kudhibiti na...
๐๐ UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 .
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Simba imepata sare ya 2-2 na Al-Ahly kwa Mkapa na 1-1 Cairo kwenye AFL mwaka huu. Kwa muda mrefu Simba huwa inaishia Robo Fainali kwnye Mashindano ya CAF, na sasa wameishia hapohapo kwenye robo ya mashindano kwa kutolewa na Al-Ahly kwa kanuni ya bao la ugenini.
Wadau wa Simba wanadai kuwa...
Za asubuhi wakubwa, weekend inaendeleaje?
Leo nawaletea muendelezo wa kile kinachojiri huko Congo katika oparation ya jeshi la kanda yetu hii ya EAC. Oparation hii mahsusi imebuniwa kwa lengo la kuwapokonya silaha waasi wote waliopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ila walengwa haswa wa...
Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe.
Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita:
Fun base kubwa โ idadi kubwa ya wapenzi, wanachama na mashabiki ndani na nje ya nchi.
Wapenzi walio tayari zaidi kusupport...
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo.
Marehemu Hanspope...
Habar wanajamvi,
Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?
Gari ni range rover 4.6HSE..
Msaada kwa wataalam na wazoefu
Ndugu zangu badala ya kutoa ushauri naomba mniruhusu nimhukumu Mama Samia kwa hotuba zake na teuzi zake japo ni mapema saana kufanya hivyo. Ameanza vizuri kwa ujumla lakini inabidi ajue mapema uimara wake na udhaifu wake:
Uimara wake (strengths):
1. Alimtendea haki sana JPM wakati wa msiba...