Bila uimara wa Kanisa Katoliki Shetani angetawala dunia kwa kiasi cha kutisha

Joseph Gadiel

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
452
Reaction score
765
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote.

Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa kanisa ni jambo linalomuumiza sana kichwa.

Mwaka 1776 iliibuka taasisi ya Illuminati. Sote tunafahamu nguvu ya Illuminati na ushawishi wake hata sasa, Pope Clement XII alipiga marufuku na alizuia waumini kujiunga na akaweka zuio kwa jamii hii ya siri na kueneza waraka wa kupiga marufuku Illuminati. Kanisa likawa adui namba moja na kizuizi kikubwa katika mpango kazi huu wa shetani kuitawala dunia na kwa miaka mingi Illuminati wanapambana na Kanisa.Pengine tujaribu kufikiria bila uimara wa kanisa hali ingekuwaje?

Vivyo hivyo kwa jamii zingine za siri kama Freemasons, ambapo kupitia mitaguso ya Vatican ambapo Pope Clement XI alipiga marufuku jamii hiyo ya siri. Vivyo hivyo kwa jamii zingine za siri kama Carbonari, Molly Maguires, Propaganda pures nk. Zote hizi zikiwa ni jamii zenye nguvu na ushawishi mkubwa sana zikiwa na nia ya kuishika na kuitawala dunia huku nyuma yao kuna mkuu wao ambaye ndiye mastermind (Lucifer).Pengine bila uimara wa Kanisa kwa miaka hii zaidi ya 2000 hali ingekuwa mbaya sana, hivi ni vita visivyokoma na kwa kiasi kikubwa ushindi wa mwanadamu unategemea sana uimara wa Kanisa.

NB; Kuyashinda haya maproject makubwa ya Lucifer hauhitaji kukemea pekee, Bali unahitaji Nguvu za kiroho, Elimu na Maarifa makubwa mno, Ambayo Kanisa Katoliki ndiye kinara, Tangu enzi za Padre Gregory Mendel
 
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote.

Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa kanisa ni jambo linalomuumiza sana kichwa.

Mwaka 1776 iliibuka taasisi ya Illuminati. Sote tunafahamu nguvu ya Illuminati na ushawishi wake hata sasa, Pope Clement XII alipiga marufuku na alizuia waumini kujiunga na akaweka zuio kwa jamii hii ya siri na kueneza waraka wa kupiga marufuku Illuminati. Kanisa likawa adui namba moja na kizuizi kikubwa katika mpango kazi huu wa shetani kuitawala dunia na kwa miaka mingi Illuminati wanapambana na Kanisa.Pengine tujaribu kufikiria bila uimara wa kanisa hali ingekuwaje?

Vivyo hivyo kwa jamii zingine za siri kama Freemasons, ambapo kupitia mitaguso ya Vatican ambapo Pope Clement XI alipiga marufuku jamii hiyo ya siri. Vivyo hivyo kwa jamii zingine za siri kama Carbonari, Molly Maguires, Propaganda pures nk. Zote hizi zikiwa ni jamii zenye nguvu na ushawishi mkubwa sana zikiwa na nia ya kuishika na kuitawala dunia huku nyuma yao kuna mkuu wao ambaye ndiye mastermind (Lucifer).Pengine bila uimara wa Kanisa kwa miaka hii zaidi ya 2000 hali ingekuwa mbaya sana, hivi ni vita visivyokoma na kwa kiasi kikubwa ushindi wa mwanadamu unategemea sana uimara wa Kanisa.
katoliki kanisa moja la takatifu na la mitume..........nb ......lilihusika na mauaji ya waprotestant mamilion na mamilion wasiohesabika toka karne ya ya kwanza mpak 1798......behind the scene katolik n waanzilishi wa masonic , Jesuits na illuminant"...
 
Kanisa la Mpinga Kristo
 
Tulia mkuu unachokifikiria ni sawa na samaki aliye ndani ya maji ya glass akidhani hamna maji mengine kumbe kuna bahari
 
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote.

Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa kanisa ni jambo linalomuumiza sana kichwa.

Mwaka 1776 iliibuka taasisi ya Illuminati. Sote tunafahamu nguvu ya Illuminati na ushawishi wake hata sasa, Pope Clement XII alipiga marufuku na alizuia waumini kujiunga na akaweka zuio kwa jamii hii ya siri na kueneza waraka wa kupiga marufuku Illuminati. Kanisa likawa adui namba moja na kizuizi kikubwa katika mpango kazi huu wa shetani kuitawala dunia na kwa miaka mingi Illuminati wanapambana na Kanisa.Pengine tujaribu kufikiria bila uimara wa kanisa hali ingekuwaje?

Vivyo hivyo kwa jamii zingine za siri kama Freemasons, ambapo kupitia mitaguso ya Vatican ambapo Pope Clement XI alipiga marufuku jamii hiyo ya siri. Vivyo hivyo kwa jamii zingine za siri kama Carbonari, Molly Maguires, Propaganda pures nk. Zote hizi zikiwa ni jamii zenye nguvu na ushawishi mkubwa sana zikiwa na nia ya kuishika na kuitawala dunia huku nyuma yao kuna mkuu wao ambaye ndiye mastermind (Lucifer).Pengine bila uimara wa Kanisa kwa miaka hii zaidi ya 2000 hali ingekuwa mbaya sana, hivi ni vita visivyokoma na kwa kiasi kikubwa ushindi wa mwanadamu unategemea sana uimara wa Kanisa.
Unalifahamu Kanisa Katoliki nyuma ya pazia, katika kutimiza kusudi lake kwa dunia tangu kuanzishwa kwake?!
 
Kuyashinda haya maproject makubwa ya Lucifer hauhitaji kukemea pekee, Bali unahitaji Nguvu za kiroho, Elimu na Maarifa makubwa mno, Ambayo Kanisa Katoliki ndiye kinara, Tangu enzi za Padre Gregory Mendel
 
Hakuna shetani, ni mambo ya kufikirika tu! Katoliki ni mfumo wa kutawala.. Endeleeni kuishi kwenye gereza la dini mtawaliwe kiulaini.
Hakuna shetani ila kuna maovu,mauaji,ukatili,wizi nk. Nayo ni mambo ya kufikirika? Mfumo wa kutawala Vs kuishi kwenye uovu, kipi bora?
 
katoliki kanisa moja la takatifu na la mitume..........nb ......lilihusika na mauaji ya waprotestant mamilion na mamilion wasiohesabika toka karne ya ya kwanza mpak 1798......behind the scene katolik n waanzilishi wa masonic , Jesuits na illuminant"...
Hapana, Si kweli
 
Hakuna shetani ila kuna maovu,mauaji,ukatili,wizi nk. Nayo ni mambo ya kufikirika? Mfumo wa kutawala Vs kuishi kwenye uovu, kipi bora?
Mwanga na giza, uovu na wema,, mbingu na ardhi,, majini na nchi kavu. Vyote hivyo ni duality kwa maana vinaonyesha na kuakisi pande mbili zinazopingana. Utashi wako ndio utang'amua. Ubora utategemea na miwani anayovaa kutazama na kutafsiri unachokiona.
 
Nani kakwambia kwamba kila kitu kipo in duality? Una uhakika kwenye dimensions zingine hakuna options zaidi ya hizo? Wewe unajua mbingu na ardhi, unaijua 3rd option? Kwa kifupi kama utashi wako unang'amua kwamba kutoa uhai wa binadamu mwenzako ni bora kulingana na miwani uliyovaa basi nadhani si binadamu
 
Back
Top Bottom