Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,629
- 1,960
Unaona sasa. Kwa statement tu hii unaona kabisa huyu ni kilaza hana uelewa wowote kuhusu Kanisa katoliki. 😂 😂 😂katoliki kanisa moja la takatifu na la mitume..........nb ......lilihusika na mauaji ya waprotestant mamilion na mamilion wasiohesabika toka karne ya ya kwanza mpak 1798......behind the scene katolik n waanzilishi wa masonic , Jesuits na illuminant"...