Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
Huku mtaani naona vijana wanaitana sheikh, mufti, maalimu, na wengine wainaitana akii, je haya ni majina ya waislamu au ni vyeo?
Utaratibu wa vyeu ukoje huko.
Wasalaam JF,
Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
Kwa hakika hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo zilizotolewa katika suala la mkataba danganyifu wa bandari ni hoja binafsi ambazo hazina mashiko katika suala la uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Pia Uzanzibari, Utanganyika ni hoja binafsi, tunachotaka bandari yetu isiuzwe,full stop kama...
Asalam.
Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani
Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni waislam wenzao.
Wakristo wanajiona ndugu zao ni wakristo wenzao.
Mitazamo hii inaathiri mambo...
Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.
Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula...
Unabii huu unaupata kwenye kitabu Cha UFUNUO 9.
1 Malaika wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya nchi; naye akapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.
2 Akalifungua shimo la kuzimu; moshi ukapanda kutoka mle shimoni kama moshi wa tanuru kubwa; jua na anga...
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.
Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo.
Ambapo sheikh amesema...
Asalam alaykum!
Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq.
Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi.
Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa...
Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo:
Wajane
hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k
Wazazi
- Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
agenda
bingwa
dunia
fifa
heshima
kiarabu
kombe
kombe la dunia
kuhusu
kupitia
maneno
ofisi
pongezi
putin
qatar
uislam
ushoga
utamaduni
wakristo
wamarekani
wengi
Habari wananchi.
Neno uislam ni neno lenye asili ya Kiarabu ambalo maana yake ni unyenyekevu.
Kwa uhalisia uislam hauna unyenyekevu na uvumilivu ndani yake.
Wanachokifanya Alshabab, Alqaeda, Islamic state, Bokko haram, na vikundi vingine vya itikadi kali ndio taswira halisi ya Uislam...
UJASUSI KWA MTU BINAFSI KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU.
Anaandika, Robert Heriel
Jasusi wa kujitegemea.
Dondoo
• maana ya ujasusi
• Ujasusi Kwa mtu Binafsi
• manufaa ya ujasusi Kwa mtu binafsi
Lengo kuu la andiko
• Mwisho wa Andiko msomaji atapata maarifa na ufahamu katika namna ya kupanga...
Na Jumaa Kilumbi,
31.10.2022
Punyeto ni nini?
ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri.
Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana.
Japokuwa ukiuliza watu wengi hawasemi ukweli ila kila mtu anajua anachokifanya anapokuwa...
Anaandika Robert Heriel,
Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi.
Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism).
Ukisema Ukristo ni mtoto...
Naona ni wakati sasa wakristo tuamke na kuomba dini yetu itunge sheria yake ya mirathi. Tuache kutegemea sheria ya kiserikali kuamua mirathi ya kila mkristo.
Tazama matajiri wa kiislam wakifariki mifarakano hakuna.
Sababu ni Mara nyingi misiba ya waislamu huwa wanatumia sheria za mirathi za...
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
Assalam aleykum !
Kuna kitu kinanikwaza kidogo nashindwa elewa kwa uelewa wangu mdogo madrasa zetu tunavyofundishwa kuhusu Dini tunafundishwa Dini ya kweli na ya Haki ni Uislamu.
Mihadhara na mawaidha yote tunayohudhulia neno ni hilo kwamba Ukristo sio dini ni imani na kipindi cha nyuma maeneo...
Nianze kwa kukiri, naamini katika Ukristo na hivyo mifano yangu itaegemea kwenye kitabu chao Biblia. Katika Waraka wa pili wa Paulo kwa Wakorintho 6:14, Mtume Paulo anawaasa Waamini wa Kanisa la Korintho kwamba hakuna Ushirika kati ya Giza na Nuru. Akimaanisha huwezi kuwa mtu wa haki kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.