Salam wanaJF!
Mwanamama Karen Armstrong alifanya utafiti wa miaka mingi kuhusu chimbuko na mabadiliko ya dhana ya Mungu [Ieleweke ni dhana ya Mungu sio Mungu - Concept of God and Not God]. Baada ya utafiti huo akaja na kitabu alichokiitwa HISTORY OF GOD: THE 4,000 YEARS QUEST OF JUDAISM...