Wakuu,
Nimekutana na video hii ya Sheikh mmoja akisema kwamba taifa lolote haliwezi kutengemaaa kama Rais ni Mwanamke.
Sheikh anasema kwamba mwanamke anaweza kuwa hadi Waziri lakini kama taifa haliwezi kutengemaa kama Mwanamke ndo anakuwa Rais.
Based on kinachoendelea nchi watu wengi huko...