PreGE2025 Video: Tunapolekea kwenye Uchaguzi, kauli ya Sheikh huyu kuhusu wanawake ni msimamo wake binafsi au ndo msimamo wa Uislamu?

PreGE2025 Video: Tunapolekea kwenye Uchaguzi, kauli ya Sheikh huyu kuhusu wanawake ni msimamo wake binafsi au ndo msimamo wa Uislamu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Nimekutana na video hii ya Sheikh mmoja akisema kwamba taifa lolote haliwezi kutengemaaa kama Rais ni Mwanamke.

Sheikh anasema kwamba mwanamke anaweza kuwa hadi Waziri lakini kama taifa haliwezi kutengemaa kama Mwanamke ndo anakuwa Rais.

Based on kinachoendelea nchi watu wengi huko Tiktok wameonekana kumuunga mkono.

Sasa najiuliza huyu Sheikh alichosema ni msimamo wake binafsi au ni msimamo wa Uislam?

Najua kuna Scholar wa kiislamu kama Imam Al Mawardi ambaye kupitia kitabu chake cha Al Ahkam Al Sultaniyyah, alisema kabisa HEAD OF STATE lazima awe mwanaume na sio mwanamke

Lakini pia nimesoma sehemu kwenye Surah An Nisa 4:34 inasema kwamba "Men Are The Protectors And Maintainers Of Women" meaning kwamba wanawake ni lazima wawe chini ya wanaume

Sasa ni ukweli ni upi wakuu? Alichokisema Sheikh ni msimamo wake binafsi au ni msimamo wa dini?

Nimepata kihali!



 
Muislamu yoyote anaye jitambua hutambua hilo, mwanamke anafaa kuwa kiongozi lakini sio kiongozi namba moja.
 
Kasome Quran mkuu utaelewa nafasi ya Mwanamke, na sababu kwanini kapewa nafasi hiyo!
 
Tena shekh kamuonea huruma Hata uo uwaziri hafai kabisa, mwanamke awe katika professional huko mahospitali labda na awe chini ya mwanaume yaàni assistant
 
Tena shekh kamuonea huruma Hata uo uwaziri hafai kabisa, mwanamke awe katika professional huko mahospitali labda na awe chini ya mwanaume yaàni assistant
Vyawa hawataki kusikia ukweli wa Quran
 
😀😀 mbona huyo huyo shehe alikuwepo kumuombea mama kwamba mama apite na mitano tena na dua akasoma.
 
Tena shekh kamuonea huruma Hata uo uwaziri hafai kabisa, mwanamke awe katika professional huko mahospitali labda na awe chini ya mwanaume yaàni assistant

Acheni Ujinga. Mbona mama anaongoza
 
Back
Top Bottom