ujamaa

Ujamaa (lit. 'familyhood' in Swahili) was a socialist ideology that formed the basis of Julius Nyerere's social and economic development policies in Tanzania after it gained independence from Britain in 1961.More broadly, ujamaa may mean "cooperative economics", in the sense of "local people cooperating with each other to provide for the essentials of living", or "to build and maintain our own stores, shops, and other businesses and to profit from them together", as in Kwanzaa.

View More On Wikipedia.org
  1. jingalao

    Ujamaa mamboleo ni fikra mpya inayotakiwa kuungwa mkono

    Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo. Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea. Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya...
  2. Makonde plateu

    Ujamaa umewadumaza waTanzania

    Sijui nani nimlaumu Rais Mao au rais wa kwanza wa Tanzania ila ok sawa nafikiri ni rais kwanza au waTanzania wenyewe ndiyo wamedumaa kutokana na ufinyu wao wa akili au ni unafiki wao wa kiwango cha lami. Nakiri ujamaa waTanzania wengi umewadumaza mpaka imefikia waTanzania wengi wao shughuli yao...
  3. May Day

    Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  4. Lycaon pictus

    Ujamaa uliofanywa na Nyerere ulikuwa umepingwa vikali sana na Karl Marx

    Habari. Juzi kati nilikuwa nasoma na Kufasiri kitabu cha Karl Marx na Friedrich Engels, The Communist Manifesto. Kwenye kitabu hicho Marx anaeleza hatua hususa za ukuaji wa makabwela hadi kuja kuuondoa ubepari. Anasema kuwa ulianza ukabaila. Katika huu ukabaila kulikuwa na wajasiriamali wa...
  5. Jerlamarel

    Hebu tuwe realistic, haya mambo yalikuwa yana nafasi enzi za ujamaa sio dunia ya sasa

    Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani. Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa. Ni lini viongozi wetu watakuwa...
  6. Mwl Athumani Ramadhani

    Chama cha ujamaa na kujitegemea cuk(self reliance and socialist party SSP) na dhamira yake ya gawio la Rasilimali KWA kila mwananchi!je itawezekana!!?

    Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao. Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
  7. Forrest Gump

    Tuwe wawazi kidogo, wazo la Ujamaa halikuwa jema kwa ukubwa

    Sawa, najua utachoanza kusema, ooh ukabila ulikomeshwa, hakuna civil war, mabeberu wangepindua tena nchi hii, etc. Lakini twende na uhalisia wa matokeo, ni nchi gani iliyokuwa mfuasi wa ukomyunisti (kutoka kwa Mchina na Mrusi) leo ina maendeleo yenye kasi kubwa, bali tu kuwa wahanga wa sera zao...
  8. Kijakazi

    Mfumo wa Ujamaa ni kwa ajili ya kuhudumia na kuwatunza Politburo, basi!

    Hakuna kingine communism inafanya isipokuwa kuwahudumia politiburo, mfumo wa Tanzania haukuundwa kujali mtu wa kawaida bali ni kwa ajili ya wale walio juu na hilo ni kuanzia Serikalini, Mashirika mpaka Polisi na Jeshini, ukiwa mkubwa matatizo hayakuhusu, na na ndiyo maana Ujamaa au moja kati ya...
  9. Priscusjt muro

    SoC02 Umuhimu wa siasa za mrengo wa kushoto (Ujamaa au Communist) katika maendeleo ya haraka ya Taifa

    Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

    Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
  11. Kijakazi

    Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa hivyo Communism lkn Tanzania ukaitwa ujamaa na ukapewa defination yake kwamba ni Communism ya...
  12. M

    Kwa faida ya watoto waliozaliwa miaka ya themanini na tisini na kuendelea: Nyerere alijenga uchumi wenye nguvu sana chini ya ujamaa na Kujitegemea!

    Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote! Wengi wanaamini kuwa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania ilisababishwa na ubovu wa siasa ya ujamaa na...
  13. Lycaon pictus

    Serikali ingeondoa kodi zote kwa magari ya umeme

    Bei yamafuta inazidi kupanda. Maana yake nchi tutatumia pesa nyingi sana kununua mafuta. Pesa ambazo zingeweza kufanya mambo mengine ya kukuza uchumi. Nashauri serikali ifanye mambo yafuatayo ili tupunguze kwa kiasi kikubwa matumizi ya mafuta. 1.Tungeondoa kodi zote kwa wale wanaonunua magari...
  14. Equation x

    Wazo la kuanzisha 'Ujamaa shop & Eqn x'

    Ujamaa shop Kama una mtaji mdogo, unaweza kufanya biashara hii huku ukijitengenezea 'brand' 'ujamaa shop' Tembelea vijiji 2 au zaidi kutokana na nafasi uliyonayo Anzisha maduka madogo madogo yenye muonekano wa gende; yatakayokuwa yanauza vitu vidogo vidogo kama vile vile; kiberiti, sukari ya...
  15. J

    Enzi za Ujamaa tungelazimishwa kuwaunga mkono Urusi

    Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande. Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lissu ndio anaishi upande wa magharibi. Maendeleo hayana vyama!
  16. W

    Huu ndio ujamaa wa kweli

    Life is so good now, kila kitu tunagawana. Maji tunagawana, umeme tunagawana, Barabarani tunavumiliana na dizel tunachoma. Kwa kifupi life is so good now. What do you think?😀. Kama hujaoga siku mbili usikomenti hapa. Skiiip. Tutajidili tuliooga tu.
  17. kimsboy

    Tungekomaa na Ujamaa bila kuikumbatia SAP labda sasa hivi tungekuwa mbali

    Kosa kubwa tulilofanya kama nchi ni kuzikumbatia sera za kipuuzi na angamivu za SAP hizi ndo zilikua kaburi kwa nchi yetu Labda tungekomaa na ule ujamaa wa nyerere bila kupinda popote labda leo tungekua tumepiga hatua Wenzetu China walikomaa na ujamaa na walivyopata matokeo na kufikia mahali...
  18. Dodoma Demand

    Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

    Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
  19. kimsboy

    Tanzania inafaa kuongoza nchi Ubepari kamili, Ujamaa wa kisasa au mixed economy?

    Nchi maendeleo huja ukiwa na mfumo sahihi wa maendeleo. Duniani kuna mifumo miwili au mitatu au zaidi inayoongoza chumi za nchi Ambapo ni Ujamaa na Ubepari Kuna ujamaa wa aina mbili Kuna ujamaa ulokolea au ujamaa asilia ambao ni Ucommunist na pia kuna ujamaa wa kisasa ambao ni Usoshalisti...
  20. Z

    Shida ya Taifa letu ni vita kati ya ujamaa na ubepari. Tuchague moja kati ya hayo

    Soma hii hapa chini Freeman Mbowe alianza kufanya biashara akiwa na miaka 23,anasema hali ya biashara nchini ilikuwa mbaya baada ya Azimio la Arusha. Pia Mbowe anasema baba yake alikataa Ujamaa na ndipo walipo tengana na Mwalimu akamwambia “tutabaki marafiki lakini niache niendelee na biashara...
Back
Top Bottom