Kwa jinsi nimechukia sina haja ya kutoa salamu, moja kwa moja katika mada.
Ni kuhusu mkutano wa leo mjini Dodoma kati ya wana CCM wakongwe wakijaribu kutuvisha vijana koti la ujamaa kwa nguvu. Ni kuwa suala hili haliwezekani tena, huyu mzee anaeshupalia ujamaa inapaswa atuambie kwa namna gani...