ujambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagu wa Malunde

    Rais Magufuli, ulipomuamrisha IGP kuwalazimisha wahalifu kuacha ujambazi, ulipaswa umkumbushe yasijirudie ya kama ya akina Zombe

    Mh rais wewe ni mkuu wa taifa letu, na taifa letu linaendesha kwa misingi ya kuilinda na kuiheshimu katiba ya JMT. Ibara ya 13 (6)(b) ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa hakuna mtu atakutwa na hatia ya jinai mpaka mahakama ithibitishe na kumtia hatiani. Kumpa amri IGP awe anawalazimisha...
  2. adden

    Taja tukio la ujambazi uliwahi kushuhudia au kusikia uelezee ilikuwaje!

    habari mabwashee.. elezo kichwa cha habari. kama katika matukio ya ujambazi nilishuhudia ni haya.. ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni hivi.nilikuwa ndani ya costa kutoka moshi kuelekea arusha.kufika maeneo ya KIA costa ikasimama kupakia abiria ambao walikuwa masai 2 na jamaa mwingine 1.kwa haraka...
  3. Suley2019

    Dar: Jeshi la Polisi limewaua waliowahi kuwa Askari wake katika tukio la Ujambazi

  4. Analogia Malenga

    Kenya: Mwanamke wa miaka 62 akamatwa kwa ujambazi na kuhukumiwa miaka 35 Jela

    Joyce Wairimu Kariuki (62) amhukumiwa kwenda jela miaka 35 baada ya kukuta na hatia ya ujambazi. Amekutwa na hatia ya kuhusika kupora vyombo vya moto kwa mwaka 2018 na 2019 Rekodi za Upelelezi wa Makosa ya jinai zinamtambua mama huyo kuwa ni mwanamke aliyewahi kutumikia kifungo cha miaka 15...
  5. Heci

    Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola

    Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar. Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live. Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja...
  6. impongo

    Jeshi la Polisi, ujambazi unavyoshamiri Chato raia wanakosa msaada

    Siku ya tarehe 2, August, 2016 nilikiwa katika mji wa Mganza wilaya ya Chato nilishuhudia mfanya Biashara akitekwa na kuibiwa pesa million nane 8 Tshs. Mfanya biashara huyo bwana Kamba Tassian alipigwa na kutekwa na kunyanganywa pesa baadae alienda kituo cha Police kutoa taarifa lakini hakuna...
Back
Top Bottom