Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja.
Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
Habari wana JF,
Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.
Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo.
Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence.
Wewe...
Salaam wakuu, dah nina andika Uzi wangu huu nikiwa Kijiji Cha wapiga miti.
👉Niko na mzee wangu Ushimen, tuki endelea na mapambano yetu Kama Wana familia
Ila kuna vitu vya mzee wangu huyu, vina Nishangaza na kuni onyesha kuwa huyu ni zaidi ya dikteta au bepari.
Ame binafsisha cheo Cha...
Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,
Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu...
Waandishi wa habari licha ya kuwa watu muhimu katika jamii lakini wamekuwa katika mazingira ambayo siyo mazuri wanapokuwa.wakitekeleza majukumu yao ya kuhabarisha Umma kwani miongoni mwao kupata vitisho wengine kutekwa na wengine kufikishwa katika vyombo vya sheria wakiwa wanadai haki zao hivyo...
Ule ujasiri wa wanaCCM mtaani kuitetea Serikali na mamlaka zake kwa mbwebwe na majigambo kwasasa unaonekana umepungua na ni dhaifu na wa kiwango cha chini sana. Ni kama vile haupo kabisa.
Hii ni kutokana na upinzani mkali kutoka kwa wannanchi katika mambo kadhaa muhimu mathalani suala la Dipi...
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga.
Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia.
Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake.
Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.
Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
amavubi gfsonwin
amkeni
basata
ccm
dhidi
king'asti asprin
kuacha
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mama samia
maua
mpya
nani
ney wa mitego
nigeria
roma
roma mkatoliki
samia
serikali
ujasiri
ujinga
ukweli
ukweli mchungu
wimbo
wimbo mpya
yangu
Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya , zinaeleza kwamba Mleta maombi Boniface Mwambukusi (Mayweather), ameiomba Mahakama kupitia Mawakili wake wakiongozwa na Wakili Msomi Alphonce Lusako, kwamba katika kipindi cha kesi hiyo DP WORLD wapigwe stop kujihusisha na shughuli zozote kwenye...
MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa kila wakati, kuanzia chakula cha kula hadi kazi ya kufanya. Hata hivyo, si maamuzi yote tunayofanya...
Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo...
Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana si kwa kutoelewana huku. Yaani katika wiki maelewano yanaweza kuwa ya siku mbili tu, siku zingine...
Ni nchi yenye uajabu wake!
Ni nchi yenye rsilimali zake nyingi, ila huwa hazitoi faida kwa wananchi!
Utasikia kiongozi akisema, hiki na kile, kimetutia hasara ya mabilioni kadhaa, tuwape wageni wakiendeshe!
Cha ajabu... hata hao wageni wakipewa! Nao hawaingizi faida! Kama sio ujasiri wa mtu...
Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru kutoka vyama vya siasa kwa manufaa ya nchi pamoja na kuruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano ya...
Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa
Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni...
Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu.
Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe...
Kama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri
Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo...
Awamu ya sita imefanya kikao cha wazi na wafanyabiashara pale Mnazi Mmoja na kamera za runinga zimeweka ushahidi wote hadharani. Hiki ni tofauti kidogo na kile kikao cha hayati JPM alichofanya na wadau wa sekta ya madini pale ikulu mwaka 2017.
Kimeweza kufanyika kwa kutegemea nguvu kubwa ya...
Hii ni stori ya kweli kabisa, iliyonifanya nichungulie mauti.
Samahani kwa uandishi mbovu, kwa asili mimi ni muhehe,najiamini sana,sina hata chembe ya woga,linapokujaga swala la woga,nikisema Uoga una tofauti yake, mfano mtu mwingine anaogopa kutembea usiku,au kulala peke yake,na kunakuogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.