Hii ni stori ya kweli kabisa, iliyonifanya nichungulie mauti.
Samahani kwa uandishi mbovu, kwa asili mimi ni muhehe,najiamini sana,sina hata chembe ya woga,linapokujaga swala la woga,nikisema Uoga una tofauti yake, mfano mtu mwingine anaogopa kutembea usiku,au kulala peke yake,na kunakuogopa...