Vijana wengi wanatazama tv si kwa lengo la kupata elimu na habari muhimu, bali wanatazama kuiga mambo. Mf anatazama maigizo anajifunza kuharibikiwa maadili kama binti mdogo anaiga majibu ya hovyo, nyodo, namna gani ajibaraguze anapotongozwa, kusema hovyo akiumizwa na kuchamba, kijana wa kiume...