Watu wengi sana wanatamani kufanya ujasiriamali kwa malengo tofauti tofauti ikiwemo kuwa na uhuru wa muda na kuongeza kipato, hata baadhi ya watu ambao wapo kwenye ajira hupendelea kukusanya mtaji ama kwenda kukopa kwenye taasisi za fedha kwa malengo ya ujasiriamali. Changamoto ni kwamba zaidi...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inafikiria kuanzisha Benki ya Maendeleo itakayokidhi mahsusi mahitaji ya ufadhili wa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs) nchini Tanzania.
Benki ya AfDB, ambayo imekuwa ikisaidia ukuaji wa makampuni makubwa ya kibiashara ya Tanzania kwa njia mbalimbali...
Abraar (waja wema)
Asalaam Alaikum.
Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment)...
Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi.
Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya vita yanayoendelea sasa hivi, kama Russia ingekuwa sio self sufficient country isingewezekana...
Fadhili Mpunji
Changamoto ya ajira kwa vijana katika nchi nyingi za Afrika ni jambo ambalo linazungumzwa sana na wanasiasa na watunga sera. Karibu kila nchi ya Afrika ina tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana, tofauti ni kwamba ukubwa wa tatizo hilo unatofautiana kwa kila nchi, na kila nchi...
Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi!
Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making. Nimeona wengi wakicomment kwenye threads zangu kuhusiana namna ninavyochukulia easy kupata pesa...
Moja ya kosa kubwa ambalo limefanyika kwa muda mrefu toka dhana ya Ujasiriamali ianze kupigiwa chapuo, ni kusahau na kushindwa kuambatanisha dhana hiyo na elimu ya uwajibikaji kwa jamii, sera madhubuti za uwezeshaji kwa wafanyabiashara wa kati na elimu ya maadili ya biashara (business ethics)...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa kumi na moja ya Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi Oktoba na Novemba mwaka 2021. Mafunzo haya...
Rafiki yangu mpendwa,
Ule ushauri maarufu kabisa wa nenda shule, soma kwa bidii, faulu vizuri na utapata kazi ya uhahika, inayolipa vizuri na kukuwezesha kuwa na maisha mazuri, haufanyi tena kazi.
Wengi wamefuata ushauri huo, wakasoma kwa bidii katika ngazi zote za elimu, wakapata ufaulu...
MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI.
ELIMU YA MSINGI
Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha Elimu hii na Elimu ya ujasiriamali.
Hususa ni Taasisi husika kukubali kuipokea Elimu hii ya...
Naanza mada hii kwa kujadili hatua mbalimbali, ingawaje hatua moja inaweza isiwe na umuhimu kwa mwingine lakini ikawa chachu ya kujitathimini hatua uliyopo.
Wakati Upo Chuo.
Kwa sie masikini hatua hii ni muhimu sana katika kuandaa maisha yetu ya mtaani baada kumaliza chuo. Ukichanga karata...
Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu mafunzo mbalimbali waweze kukabiliana na hali ya maisha watakayokutana nayo bila kutegemea ajira kama...
Mambo yamebadilika.dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana na sisi kama walezi au wazazi tunapaswa kuwa na mitazamo tofauti kwa watoto wetu juu ya ajira.
Yafuatayo tunapaswa kufanya kwa kipindi hiki ili kuwajenga watoto wetu kuepuka janga la wasiokuwa na ajira baadaye:
(1)...
1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k
_ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k
2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
Kwa kipindi cha hivi karibuni, tatizo la ajira limepelekea mlengo wa ujasiriamali kuwa ndio habari ya mjini. Tumesikia maneno ya hamasa kwa vijana kuingia kwenye shughuli za kijasiriamali toka kwa watu mbali mbali ikiwemo wanasiasa, watumishi wa serikalini pamoja na taasisi zisizo za kiserikali...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima.
Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Mwanzo, nitaelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo wakabili...
Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
UJASIRIAMALI ni mchakato endelevu unao ambatana na Imani juu ya kujikomoa kiuchumi kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ya juu zaidi. Nchi nyingi duniani hasa mataifa makubwa toka miaka ya 1960 zimepata kuendelea kutokana na sera tofauti tofauti zilizoanzishwa na serikali zao juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.