ujasiriamali

  1. Youtube ni fursa nzuri ya kujiajiri

    Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa vizri sana endapo tu utakuwa serious na namba zako yaani subscribers na views zitakuwa zimeshiba...
  2. Kitabu: Biashara ndani ya ajira, toleo la pili, Oktoba 2019

    Rafiki yangu mpendwa, Mwezi Oktoba mwaka 2016 nilitoa toleo la kwanza la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Kitabu ambacho kilikuwa na maarifa na mwongozo sahihi kwa yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara lakini kazi inakuwa kikwazo kwao. Nilitoa kitabu hiki baada ya kujifunza kwa wengi...
  3. Maswali kuhusu Reseller Program ya Amazon

    E-commerce itaenda kuwa mustakabali wa ulimwengu wa biashara na siku zijazo uwezekano wa biashara hii kuwa chini ya kampuni ya Amazon ni kubwa Kutokana na ukubwa wa biashara hiyo ya Amazon, ambayo hurahisisha na kusaidia ufikishwaji wa mizigo mbalimbali kupitia mtandao. Kuanzisha biashara kama...
  4. KIJANA MSHONAJI ANATAFUTWA

    fursa. natafuta kijana umri miaka 18 - 30. Awe anajua kushona na kudesign nguo kwa cherehani. Nataka kuingia ubia wa kufanya kaz pamoja. Mtu yuko interested anifwate inbox.
  5. Mfahamu Jacob Mushi

    Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa. Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi pekee...
  6. Udogo ni kipimo cha mafanikio???

    Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja ni jinsi gani haswa tutafanya promotion on our eatery and products cause ndo tunataka tuanze tu,na...
  7. Ninaandika na kuuza Proposal za Biashara, Miradi na Idea mbalimbali.

    Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo. Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc. Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…