ujauzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mributz

    Ujauzito huu sijui nimebeba nini msaaada wataalamu

    Habarini Nina ujauzito nimepima Nikaenda kufanya na ultrasound Sasa ivi napata mwez wa 6 wa ujauzito wangu Nimekuja Leo hospital kupima sound mimba inasoma Ina week 2 Si umwi kokote mwilini Msaaada wenu jamaii
  2. baharia 1

    Nifanye nini?, mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu

    Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116] Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake...
  3. Braza Kede

    Hawa maaskari wa sauzi walienda na ujauzito vitani au wameupatia hukohuko?

    Hawa walitoka makwao Disemba 2023 na hii Februari 2025 wameonekana ni wajawazito. Wakuu nataka mnipe uhakikisho hawa wapendwa walitoka na ujauzito makwao au wameupatia hukohuko vitani? Hapa tutawategemea sana wamama/wadada mliomo humu ole wenu mtulishe kasa. na kama walipatia huko vitani je...
  4. Loading failed

    Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2 Baada...
  5. Maleven

    Tangu mke wangu apate ujauzito maelewano yamepotea na unyumba nanyimwa

    Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito, 1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story 2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani. 3...
  6. LA7

    Amejiua baada ya Mume wake kakataa ujauzito

    Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo. Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa...
  7. tEcHiE

    Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

    Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia: Watunzeni Watoto wetu tusije kusikia kesi za Ujauzito

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la ya Dr.Samia Suluhu Hassan ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.6 leo September 27,2024. RAIS SAMIA...
  9. C

    Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale Nitumie mbinu gani...
  10. Wauzaji wa containers

    Kuna mtu yeyote anapata shida kushika ujauzito

    Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane . Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia. Sihitaji PESA ila ni kusaidiana. Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu Amekuwa akisaidia watu for years. Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo...
  11. nyakandula

    Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

    Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake. Nikamtumia pesa aende hosptal...
  12. Melki Wamatukio

    Nikifikiria ujauzito mwili unaishiwa nguvu kwa kuwa sijampenda kutoka moyoni

    Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima la kumuoa, kajikuta amedata. Siku ya jana mida ya saa 11 jioni wakati natoka mizungukoni, nikakuta...
  13. Loading failed

    Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  14. I am Groot

    WIMBI: Ujauzito kwa mabinti wadogo chini ya miaka 18; nani haswa wa kulaumiwa?

    Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini. "Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta mmoja tu ndio mpevu...lakini wengine wote ni kutoka miaka 15-19, niombe sana, wapeni nafasi watoto...
  15. N

    Namna ya kukokotoa siku ya kupata ujauzito na mzunguko wa hedhi kwa urahisi | How to can you know your menstrual circle and a day to conceive?

    NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE? Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi...
  16. OCC Doctors

    Kondo la Nyuma la uzazi kumtangulia mtoto wakati wa ujauzito

    Kondo la uzazi kumtangulia mtoto (Placenta previa) hutokea wakati wa ujauzito, kondo huongezeka ukubwa na kutanuka kadri mfuko wa uzazi unavyotanuka na kukua. Ni miongoni mwa hali za hatari kwa mama mjamzito ambapo kondo la nyuma hujipachika katika sehemu ya chini ya mfuko wa uzazi, kukua na...
  17. Ngufumu

    Namna ya kuzuia Kichechefu wakati wa Ujauzito

    Je unaelewa nini kuhusu Kichechefu wakati wa ujauzito/ Morning sickness? Kichefuchu ni dalili ya kawaida ya ujauzito, hasa wakati wa kipindi cha kwanza cha mimba(miezi 3 ya mwanzo). Hali hii inaweza kukufanya uhisi kuchefuka au kuwa na kizunguzungu na kukuacha bila hamu ya kula. Ingawa ni...
  18. hk20

    Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

    Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa. Ndio kwanza namaliza chuo sifaham majukumu ni nini. Hili swala linanipa mawazo Hadi nashindwa ku focus na masomo...
  19. M

    Kushindwa kubeba ujauzito na kukosa hedhi kwa muda mrefu

    Habari zenu wadau, Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito wala kupata hedhi kwa muda wa miaka 4 hadi sasa. Mwenza wake alijuzwa na madaktari kuwa mkewe...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe Mbunge wa Buyungu, Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi aliyepata ujauzito akiwa shuleni akirudi masomoni baada ya kujifungua sheria imuangalie upya namna ya kumhudumia kwa kumpatia elimu kwa kuwa anakuwa na changamoto nyingi...
Back
Top Bottom