ujauzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MissRaya

    Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

    Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu. Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni salama ila alimwagia ndani😥 Ikabidi nitumie p2 mapema kabla ya masaa 24 kuisha. Yote ni kuhofia...
  2. careenjibebe

    Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

    Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje? Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya...
  3. Abraham Lincolnn

    Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu...
  4. Replica

    Morogoro: Watoto zaidi ya 1200 wapatiwa ujauzito ndani ya mwaka mmoja

    Afisa Ustawi wa Jamii mkoani Morogoro, Jesca Kamugela amesema Matukio ya mimba na ndoa za utotoni yamezidi kuongezeka katika mkoa huo ambapo katika kipindi cha mwaka mmoja 2020/21 ya watoto 1,277 wamepata ujauzito kulingana na matukio yaliyoripotiwa. Halmashauri zote za Morogoro zimekuwa...
  5. J

    Je, ujauzito ni hatari kuliko UKIMWI?

    Ni kweli kwasababu ya utandawazi, mambo yanabadilika. Namna za kuishi pia zinabadilika, mapokeo nayo kutoka kizazi hadi kizazi yanabadilika. Je hekima imesafiri? Au amepotea njia? Au maarifa ya utandawazi yamebadilisha maana ya hekima? Je ni kweli kwa kizazi hiki mimba imekua ni ugonjwa hatari...
  6. M

    Nilimpenda sana mpenzi wangu ila kanisaliti

    Kwema wakuu Niko kwenye kipindi kigumu Sana ni hv nilikuwa na uhusiano na dada mmoja wa kichaga yeye wakati huo anaishi na dada yake wakati mahusiano yako hot Mara nyingi alikuwa ananambia anelaenda kusali kwa mwamposa. Sasa Kuna siku Niko kazini nikapigiwa simu na jamaa ananiuliza unamfahamu x...
  7. M

    Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo. Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia...
  8. N

    Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

    Habari waungwana, Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo. Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi...
  9. Miss Zomboko

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  10. CAGvsSPEAKER

    Naomba Ushauri: Mke wangu anaishi maisha ya kushindana na mimi

    Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao. Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu...
  11. N

    Kigoma: Zahanati yafungwa baada ya Muuguzi aliekuepo kupata ujauzito wananchi wahaha kupata huduma!

    Uvinza. Wakazi wa kijiji cha Chakulu, kata ya Uvinza wilayanii Uvinza wamelalamika kukosa huduma za afya baada ya zahanati wanayoitegemea kufungwa kwa zaidi wiki moja, hali inayosababisha usumbufu kwa wananchi. Hatua hiyo imekuja baada ya zahanati hiyo kuwa na wahudumu wa afya wawili, huku...
  12. Bata batani

    Je, inawezekana mwanamke asikamate ujauzito akiwa katika siku za hatari?

    Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
  13. TheDreamer Thebeliever

    Kama tumekubaliana kwamba wanaopata ujauzito waendelee basi na baba mtoto asamehewe walee mtoto

    Habari wadau! Hili ni jambo jema sana pongezi kwa mheshimiwa rais Samia Hassan. Ila nilikuwa namuomba rais kupitia kiti chake aliombe bunge kuangalia upya ile sheria ya kale kamshikaji kalichopelekea mwanafunzi kupata ujauzito basi wasiwe wanafungwa jera wanaweza pewa tu adhabu ya faini. Hii...
  14. Wildlifer

    Mwanafunzi aelezea alivyomsingizia Mwalimu ujauzito

    Hii dunia ina mambo complicated sana. Ila hii michezo ya kusingizia mimba inafanyika sana kwa ushirikiano wa wazazi wa binti na mtia mimba halisi. Wazazi wanakatiwa chao na jamaa, halafu binti anapangwa jinsi ya kusema. Bahati mbaya na Polisi wetu bongo weledi ni tatizo, mtu anakula nyundo 30.
  15. USSR

    Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
  16. warumi

    Wolper ni Mjamzito: Rich Mitindo aweka picha zao za "maternity photoshoot" mtandaoni

    Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye mwenyewe kukana na hata kugombana na mwigizaji mwenzie Shamsa Ford, ameonekana mwenye furaha huku...
  17. Ben Zen Tarot

    Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
  18. kilamba lamba

    Huu ujauzito, nimeukataa rasmi

    Habarini wana jamvi.natumai mu wazima kabisa. Siku za nyuma kidogo nilileta Uzi humu kuhusu kutoelewa ujauzito alioupata mpenzi wangu .Na hii ni kutokubaliana na maelezo yake ambayo yanakinzana na ukweli kidizaini flani . Kiukweli naona nabambikiwa bao la mwanaume mwenzangu kabisah. Sasa...
  19. kilamba lamba

    Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

    Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa. Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh...
  20. N

    Ushauri kuhusu mtoto kufariki tumboni kwa mama

    Habari zenu wana JF, Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu maana humu kuna wataalamu mbalimbali. Mama watoto wangu ni mjamzito wa takribani miezi 8 na point na amekuwa akihudhuria kilinic vizuri kabisa. Alitakiwa kujifungua 09.02.2019 kwa mujibu wa maelezo ya kliniki...
Back
Top Bottom