Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa
Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ).
“Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu.
Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja).
Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari.
Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue.
Kitabibu ni sahihi kunyonyesha na ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watu wenye imani za kidini...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa TZ.
Nilikutana na mwanamke kimwili kuanzia tarehe 20 mpaka 23 yaani alikuja getho tukawa pamoja kwa siku hizo.
Ila anadai aliingia period tarehe 12 mwezi huo sasa nahofia kuwa alipata ujauzito ila kinachonitoa hofu mbegu zilikuwa nyepesi...
Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya askari, Nuru Mtafya anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa...
Mahakama Kuu Nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha Polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana.
Jaji Inyang Ekwo amesema hakuona sababu ya kutosha kuvuruga nidhamu ya jeshi.
Kesi hiyo iliwasilishwa Mahakamanina Chama cha Wanasheria wa...
Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.
You can imagine akipata uchungu...
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo...
Wakuu kwema?
Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa.
Jamaa yake saivi amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau...
Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Sasa kama...
Wakuu,
Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid.
Sasa last week akanipigia simu akaniambia anataka tuzungumze nikamwambia sawa.
Madai yake ni kwamba, yeye alikuwa na uvimbe na kuna madawa alikuwa...
1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe
2. Seli nyekundu zina protini inajishika ukutani mwake inaitwa antigen. Kuna antigen A au B au seli inakuwa haina antigen:
• Ambaye...
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie...
Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa.
Ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........?
Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa ameshageuka tayari naona sielewi na sina ufahamu saa kuhusu haya mambo ameenda kupga utra sound kaambiwa...
Sengerema wanafunzi wapatao 254 wa shule za msingi na Sekondari Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wamekatishwa masomo kwa kupatia ujauzito kwa mwaka Kati ya mwaka 2020/21.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa dawati la Jinsia Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Insepectar wa Polisi Martha Silvesta...
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya wanaume kukimbia ujauzito na kutelekeza watoto pasipo sababu za msingi. Ukizingatia kuwa mwanaume ndiye aliyemshawishi mwanamke kwa kinywa chake mwenyewe kwamba washiriki tendo la ndoa.
Wanawake wamekuwa mstari wa mbele kuhimiza matumizi ya kinga huku...
Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.