Habari za wakati huu wanajamiiforums!
Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli.
Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi!
Wengi wa...
Mabadiliko makubwa ya mfumo wa homoni pamoja na kasi ya ukuaji wa mtoto ambayo huleta mgandamizo kwenye tumbo la chakula ni mambo mawili yanayosababisha kutokea kwa tatizo la kiungulia kwa wanawake wajawazito.
Jambo hili siyo la ajabu, linaweza kutokea kwa mwanamke yeyote.
Ili kuzuia...
Pengine umewahi kuwaza kwa nini baadhi ya wanawake wajawazito hupenda sana kula udongo, barafu, magodoro, nguo, sabuni, karatasi au vitu vingine visivyo chakula? Kitendo hiki kitaalamu huitwa Pica.
Husababishwa na uwepo wa upungufu mkubwa wa madini ya chuma ambayo hupelekea kutokea kwa tatizo...
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia...
Tetanus (Pepopunda) ni ugonjwa unaosababishwa na sumu inayotokana na maambukizi ya bakteria wanaoitwa Clostridium tetani ambao hupatikana kwa wingi kwenye ardhi, vumbi na vinyesi vya wanyama.
Vimelea hivi huingia mwilini kupitia sehemu za ngozi ya mwili iliyo wazi, kitendo chochote kinacho...
Wiki iliyopita katika makala ya Sheria ya katazo la Utoaji Mimba Tanzania dhidi ya uhalisia wa maisha halisi ya mtaani nilielezea kuhusu uhalisia ulivyo kwa sasa wa matukio mengi ya unyanyasaji wa kingono yanayotokea kwenye jamii zetu.
Makala iligusia jinsi Wasichana wadogo wanavyobebeshwa...
Upungufu wa damu (Anemia) wakati wa ujauzito ni tatizo linalo wapata wanawake wengi.
Tatizo hili huwaongezea hali ya kujisikia uchovu, kupauka kwa rangi ya ngozi, maumivu ya kichwa pamoja na kuongezeka kwa mapigo ya moyo. Aidha, huongeza nafasi ya kujifungua mtoto mwenye uzito mdogo, kujifungua...
Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi wa mpango wangependa kutumia.
Matumizi ya kondomu, vipandikizi, sindano, vidonge, kitanzi na...
Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi.
Imezoeleka kwamba watoto...
Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha.
Serikali imewaruhusu watoto...
Hakika wanawake si binadamu, ni viumbe wa ajabu sana kulinganishwa na majini au hata nyoka. TUISHI NAO KWA AKILI
Mwaka 2017 huyu binti alikuwa kidato cha nne. Kwa bahati mbaya alipata ujauzito mwezi wa tatu. Juhudi za kumtafuta mhusika zilimwangukia kijana aliyekuwa anachukua diploma ya unesi...
Kuna njia nyingi za kuzuia ujauzito kwa wanawake kati ya zifuatazo:
Kutenganisha mirija ya uzazi
Kuepuka ngono
Kutumia kalenda
Njiti
Vidonge
Condom
Kwa wataalamu wa maswala ya uzazi njia ipi inayotumika zaidi?
Kuna dada mmoja anasoma chuo, ni mpenzi wangu japo anajua nina mapenzi, kabila lake ni mmakonde, mweupe na ni islamic..
Shida ni kua ana hamu ya mtoto na anakaa kwao na mama yake, anataka nimzalishe mimi ambae ni mkristu yeye kasema atabadili dini, anatamani tu azae na mtu wa kuzaa nae ni...
Habari jf?
Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala.
Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga.
Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua anachukua urine test kwenye masuala mengine.
Je, inawezekana mimba kuonekana kwenye rada kwa muda...
Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani.
Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi.
Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
Ujauzito ni hatua muhimu katika maisha ya kila mwanamke.
Kuna wamama wanao furahia kipindi chote wanachobeba ujauzito na wengine huanza kuwa na khofu pindi tu anapojigundua kuwa ana ujauzito.
Licha ya kuwa asilimia kubwa wanawake huwa na khofu na wasiwasi, hali hiyo hupungua pindi wanapopata...
Mdogo wangu in mjamzito miezi mitatu, juzi alhamis jion maji yalianzakumtoka na baadae damu tukaenda hospital moja ya karibu waka mpima wakasema mtoto hana maji na njia imefunguka
Je, hapo kuna uwezekano wa mtoto kuishi bila maji?
Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuamua kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye maeneo ya uzalishaji kikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi mambo ambayo yatachochea ukuaji wa kipato cha wananchi na kukuza uchumi wa nchi.
Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa Benki...
Habari wana jamvi...
Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutoshika mimba ikiwemo..
Uvimbe kwenye mirija ya uzazi
Homone imbalance
Magonjwa kwenye mfumo wa uzazi n.k
Kuna dawa itakusaidia wewe mwenye tatizo la kushika mimba ukitumia dawa matokeo utayaona ndani ya mwezi mmoja..
Itakusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.